technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutarajie kumwona polepole tena akitumia masaa 6 kujibu nondo za LissuTundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho View attachment 1566658View attachment 1566659View attachment 1566660View attachment 1566661View attachment 1566662
Hapo kwenye picha Kuna nondo gani? Mnaleta picha halafu mnasema nondo.Tutarajie kumwona polepole tena akitumia masaa 6 kujibu nondo za Lissu
Moto wa mabuaHuu moto CCM hata kuota hawawezi wataishia kuungua tu.
Kama ni mmoja wa waliomshauri mwenyekiti vibaya ajitafakari.Tutarajie kumwona polepole tena akitumia masaa 6 kujibu nondo za Lissu
Huyu mtaalamu yupo au editing
🤣🤣🤣🤣 safi sana hii..
Hongeleni kwa kujifariji, huo mkutano wa LIsu unalingana na wa Mbunge Lema sasa hapo ndo kufuta CCM?Huu moto CCM hata kuota hawawezi wataishia kuungua tu.
Hakuna kitu kizuri duniani kama ndoto, maana unaweza kuota uko Mbinguni, lakini ukiamkaa asubuhi tabasamu na furaha yote haipo bali shida zako za siku zote .Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho View attachment 1566658View attachment 1566659View attachment 1566660View attachment 1566661View attachment 1566662