LGE2024 Tundu Lissu akataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA, "Mwambieni nikitaka maji nitayaomba, msimpige"

LGE2024 Tundu Lissu akataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA, "Mwambieni nikitaka maji nitayaomba, msimpige"

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Lisu awe makini na kila mtu. Walinzi waliruhusuje maji yamfikie maji yasiyo julikana yametoka wapi.
 
labda alionewa huruma maana kwenye press conference Singida alikaukwa mdomo na koo mpaka akapiga yowe kuwauliza wasaidizi wake kwamba jamani si nimekuja na chupa ya maji hapa? iko wapi?🤣

awe anaandaliwa maji karibu, ni mbovu huyo anaumia Lakini anajikaza tu ndrugo zango 🐒
Wakuu

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara.
 
Chadema ni shida sana, imani ndogo sana miongoni mwao, ma - actions nje nje ukiteleza unakwenda na maji, halafu wanasingizia ccm mbaya ccm watekaji or ccm wauwaji (kumbe game ipo ndani ya chadema wao kwa wao, wanatekana na kubonyezana kimya kimya) silent game
 
Wangekuwa ni Chadema wanafanya hivyo vyombo vya dola vingeishadhibiti matukio ya utekaji, na mauaji.
 
Back
Top Bottom