Si anashindana na Mzee Mbowe?Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si anashindana na Mzee Mbowe?Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara.
Inasikitisha sana mkuuKijana mdogo kama wewe kuwa na mawazo kama haya ni dalili mbaya sana ya kiakili, kihisia na kimwili
Inasikitisha sana mkuuCcm yamejaa upumbavu yanafikiri chadema ni wapumbavu kama wao eti yanatuma mtu kupeleka maji foolish
Maji yaliyowekwa sumu?Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara.
Wakuu

Wangekuwa ni Chadema wanafanya hivyo vyombo vya dola vingeishadhibiti matukio ya utekaji, na mauaji.Chadema ni shida sana, imani ndogo sana miongoni mwao, ma - actions nje nje ukiteleza unakwenda na maji, halafu wanasingizia ccm mbaya ccm watekaji or ccm wauwaji (kumbe game ipo ndani ya chadema wao kwa wao, wanatekana na kubonyezana kimya kimya) silent game
Mkuu tz kila siku vilaza wanaongezeka badala ya kupungua , tumekua na madondocha wengi sanaKijana mdogo kama wewe kuwa na mawazo kama haya ni dalili mbaya sana ya kiakili, kihisia na kimwili