Tundu Lissu akichaguliwa rais wa Tanzania utafanya nini?

Tundu Lissu akichaguliwa rais wa Tanzania utafanya nini?

Tunaenda kutengeza mifumo imara siyo watu imara

Tukiwa na katiba mpya Bora tutarejesha demokrasia ya kweli siyo kama hii ya akina mchengerwa na mkwe wake
Tutajesha ukuu wa bunge, uhuru wa mahakama na uwajibikaji wa serekali

Tutaprpmote uhuru wa habariuhuru wa watu, uhuru wa kiuchumi na kisiiasa.
Mtaprimote na haki sawa za upinde
 
Huyo kilaza labda awe rais wa mkundu .
Urais wa Tanzania aliyoisaliti na kusaidia Acacia atausikia kwenye Bomba tu
 
kapewa ubunge kafanya nini ikungi? huko chadema kafanya nini? TLS alufanya nini?
 
kapewa ubunge kafanya nini ikungi? huko chadema kafanya nini? TLS alufanya nini?
Ili uwe mbunge unapaswa kufanya nini?
Tutajie hapa kazi za mbunge walau 5 ili tuone kama hajafanya au kutimiza wajibu wake
Kutunga sheria? Hajashiri?
Kuishauri serikali hajaishauri?
 
Ili uwe mbunge unapaswa kufanya nini?
Tutajie hapa kazi za mbunge walau 5 ili tuone kama hajafanya au kutimiza wajibu wake
Kutunga sheria? Hajashiri?
Kuishauri serikali hajaishauri?
zitto alisema wananchi masikini wanataka maendeleo kwanza, barabara maji shule hospital, huko ikungi umasikini alideal nao vipi? ona sasa hivi badala ya kupiga kampeni ikungi kaenda tarime wasikozijua porojo zake
 
Kama mawakili wasomi waliona anafaa kuwaongoza katika chama chao cha TLS, iweje akose sifa ya kuchaguliwa hata katika ngazi ya kitongoji? Kumbuka, Lissu alishawahi kuwa mbunge tena wa kuchaguliwa na wananchi, hivyo si mtu wa kiwango hicho unachotaka kutuaminisha.
 
Rais bora Tanzania atatoka CCM na 2025 ni jina jipya kabisa lisilo na kashfa au tuhuma za kujilimbikizia mali au kuuza rasilimali za nchi kwa wageni.
 
Huyo kilaza labda awe rais wa mkundu .
Urais wa Tanzania aliyoisaliti na kusaidia Acacia atausikia kwenye Bomba tu
Point yako ni nzuri, lakini hupaswi kutumia maneno yenye ukakasi kwenye hadhara km hii. Hilo neno la mwisho kwenye sentensi ya kwanza halistahili kuwepo hapo!
 
Wananchi tutaendelea na maisha kama kawaida, watumishi wa serikali wataendelea na kazi zao kama kawaida, shida machawa na baadhi ya viongozi watalazimika kusepa
 
Siyo " kulipiza kisasi", sijui kwa nini umeona maneno hayo ndiyo sahihi kutumiwa. Kama kuna sheria zimevunjwa, hao waliovunja sheria wakifikishwa mbele ya mahakama wewe utaona ni "kulipiza kisasi"?
Maneno Kuntu
 
Japo simpigii kampeni, nani ajuaye mipango ya Mungu. Katika gombea gombea ikatokea Tundu Lissu akachaguliwa kuwa rais, utanya nini au utajisikiaje? Nakumbuka. Alimuonya Magufuli juu ya uvunjaji wa sheria za mikataba akataka kumuwahisha kuzima akaishia kuwahi yeye. Alinusurika kuuliwa. Hakuuguzwa kama sheria inavyotaka kuhusiana na haki za wabunge. Hakulipwa fedha yake halali kama mbunge. Alinyang'anywa hata ubunge wake kwenye kejeli ya mwaka 2020 ilioyoitwa uchaguzi. Je anaweza kulipiza kisasi au kusamehe? Piga picha. Lissu akichaguliwa Tanzania itakuwaje?
Fullshangwe kama ilivyo kwa waamerika
 
Back
Top Bottom