Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Mtaprimote na haki sawa za upindeTunaenda kutengeza mifumo imara siyo watu imara
Tukiwa na katiba mpya Bora tutarejesha demokrasia ya kweli siyo kama hii ya akina mchengerwa na mkwe wake
Tutajesha ukuu wa bunge, uhuru wa mahakama na uwajibikaji wa serekali
Tutaprpmote uhuru wa habariuhuru wa watu, uhuru wa kiuchumi na kisiiasa.
Hii nchi ni kubwa halafu kibaya zaidi mifumo mibovuKila siku siyo Jumapili
Upo nchi gani wewe? Hakuna viroba siku hiziU Rais sio kama viroba unakunywa
Ili uwe mbunge unapaswa kufanya nini?kapewa ubunge kafanya nini ikungi? huko chadema kafanya nini? TLS alufanya nini?
Kweli, atatuhamisha raia wote na kutupeleka mjini Usenge, Jimbo la Nyanza kule Kenya. Atatufanya sote kuwa wenyeji wa UsengeUshoga utakuwa rasmi kabisa nchini,Serikali yake itauunga mkono
zitto alisema wananchi masikini wanataka maendeleo kwanza, barabara maji shule hospital, huko ikungi umasikini alideal nao vipi? ona sasa hivi badala ya kupiga kampeni ikungi kaenda tarime wasikozijua porojo zakeIli uwe mbunge unapaswa kufanya nini?
Tutajie hapa kazi za mbunge walau 5 ili tuone kama hajafanya au kutimiza wajibu wake
Kutunga sheria? Hajashiri?
Kuishauri serikali hajaishauri?
Point yako ni nzuri, lakini hupaswi kutumia maneno yenye ukakasi kwenye hadhara km hii. Hilo neno la mwisho kwenye sentensi ya kwanza halistahili kuwepo hapo!Huyo kilaza labda awe rais wa mkundu .
Urais wa Tanzania aliyoisaliti na kusaidia Acacia atausikia kwenye Bomba tu
Rais bora Tanzania atatoka CCM na 2025 ni jina jipya kabisa lisilo na kashfa au tuhuma za kujilimbikizia mali au kuuza rasilimali za nchi kwa wageni
Maneno KuntuSiyo " kulipiza kisasi", sijui kwa nini umeona maneno hayo ndiyo sahihi kutumiwa. Kama kuna sheria zimevunjwa, hao waliovunja sheria wakifikishwa mbele ya mahakama wewe utaona ni "kulipiza kisasi"?
Fullshangwe kama ilivyo kwa waamerikaJapo simpigii kampeni, nani ajuaye mipango ya Mungu. Katika gombea gombea ikatokea Tundu Lissu akachaguliwa kuwa rais, utanya nini au utajisikiaje? Nakumbuka. Alimuonya Magufuli juu ya uvunjaji wa sheria za mikataba akataka kumuwahisha kuzima akaishia kuwahi yeye. Alinusurika kuuliwa. Hakuuguzwa kama sheria inavyotaka kuhusiana na haki za wabunge. Hakulipwa fedha yake halali kama mbunge. Alinyang'anywa hata ubunge wake kwenye kejeli ya mwaka 2020 ilioyoitwa uchaguzi. Je anaweza kulipiza kisasi au kusamehe? Piga picha. Lissu akichaguliwa Tanzania itakuwaje?