Tundu Lissu akirudi nchini akamatwe awekwe sehemu salama

Mvidunda

Senior Member
Joined
May 30, 2020
Posts
121
Reaction score
171
............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
 
Tanzania hakuna amani kuna uwoga..mambo ya kipuuzi yanayofanyika hapa nchi nyingine balaa
 
Haya mambo yanavyoenda.
Tukimaliza miaka 50 mbele,watoto wetu na wajukuu wakisoma siasa za kina jiwe sinavyoendeshwa watalia machozi kwa masikitiko ya mateso tunayotesana wenyewe.

Historia tunayoisoma sasahiv inatuonyesha mateso waliopata babu na baba zetu enzi za watu weupe.

Lakini sasa tumeamua kutesana wenyewe bila ya aibu wala huruma kwasababu tu ya matumbo yao kwa uroho wa madalaka.

Hovyo kabisa.
 
Iv aliyeandika hapa ni mwanaume mwenzangu au ni mama mjamzito yupo leba ryt nw
............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
 
Risasi mumpige
Matibabu mumnyime
Ubunge mumpokonye
Bado ujinga mumsingizie

Kweli kuna wakati ugaidi ni haki.
Huu ushetani wote mmemfanyia bado mnamtafuta Uhuru wake na roho yake watakaoamua kumlipia kisasi watakuwa na makosa?
 
............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
Kuna maisha baada ya Magu!! We jitoe ufahamu
 
............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
Ile kutangaza nia tu mumeshaanza kujiharishia.
 
............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
Harudi huyo kamanda uchwara. Kwanza jamaa ni muoga kama kunguru.
 
............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
Kumbe uko Dar kuna Amani?
 
Kosa la kuropoka kitu ambacho hana ushahidi. Anaumwa na chawa ya nguoni mwake bila kujijua
 
............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
TUNDU LISSU ANAWAPA KIWEWE
 
Ikitokea Mhe. Tundu Lissu Arudi nchini kisha akamatwe. Itakuwaje, maana kulingana na mambo ya ajabu ajabu kutokea hasa watu wakikamatwa hadi kwa kucheka picha. Siwezi kushangaa akikamatwa

Ila Je, itakuwaje Mhe. Lissu akirudi Tanzania kisha akamatwe na polisi. Kiujumla hali itakuwaje nchini Tanzania, je itakuwa ndio chanzo cha uvunjifu wa amani au mambo yatakuwa ni kama kawaida or business as usual? Nasema hivyo maana chama changu chama Dume CCM na polisi wetu hawakawaii kumkamata na kumpa money laundering hadi uchaguzi uishe
 
Akamatwe kwa kosa gani?Maana Hana kosa lolote.Ila so ajabu kwa serikali hii ya makafiri na mahayawani wanaweza kumweka ndani bila sababu baadae ndo yakatafuta visingizio
 
Back
Top Bottom