Tundu Lissu akirudi nchini akamatwe awekwe sehemu salama

Tundu Lissu akirudi nchini akamatwe awekwe sehemu salama

Akikamwatwa Tundu Lissu itakuwa nzuri sana. Itawapatia wapinzani ushindi kwani hata Bernard Membe mwenyewe najua kwenye Kampeni ataongelea uonevu anaofanyiwa Tundu Lissu. Benard Membe mojawapo ya hoja kwenye Kampeni ni itakuwa iwapo atashinda URais basi atahakikisha anamfutia Tundu Lissu kesi zake zote!
 
Yeye Ninan asikamatwe Kama Ni mtuhumiwa?

Yeye Ni nani haswa Hadi awe juu ya Sheria?

Kwani lissu ana cheo gani Hadi kuishinda nguvu ya mahakama isifanye Kazi yake?
 
Hawawezi thubutu kabsa ikitokea ivo ujue lazma uchaguzi utahailishwa kwa shinikizo la mabeberu
 
Yeye Ninan asikamatwe Kama Ni mtuhumiwa?

Yeye Ni nani haswa Hadi awe juu ya Sheria?

Kwani lissu ana cheo gani Hadi kuishinda nguvu ya mahakama isifanye Kazi yake?
Umeandika kwa chuki kubwa sana dhidi ya kiumbe mwenzio..Ona aibu
 
Japo ni mlemavu wa miguu lakini pingu za miguuni zinamuhusu
 
Apigwe pingu miguuni na mikononi apewe na ndoo ya kujisadia haja kubwa atakapo ifadhiwa huko mahabusu.
 
Ikitokea Mhe. Tundu Lissu Arudi nchini kisha akamatwe. Itakuwaje, maana kulingana na mambo ya ajabu ajabu kutokea hasa watu wakikamatwa hadi kwa kucheka picha. Siwezi kushangaa akikamatwa

Ila Je, itakuwaje Mhe. Lissu akirudi Tanzania kisha akamatwe na polisi. Kiujumla hali itakuwaje nchini Tanzania, je itakuwa ndio chanzo cha uvunjifu wa amani au mambo yatakuwa ni kama kawaida or business as usual? Nasema hivyo maana chama changu chama Dume CCM na polisi wetu hawakawaii kumkamata na kumpa money laundering hadi uchaguzi uishe
Lissu akija atakamatwa hivyo tujiandae kumpigania kwa namna yoyote kwani unavyojua Lissu amekuwa mwiba mkali kwa uongozi huu.
 
Mi nashauri wasje thubutu kumkamata..kesi kama wanaona anayo si malawyer wake wapo.?.yeye wamuache aendelee na harakati zake. Kwani ameua mpaka awekwe kizuizini?
Hiki kipindi serikali ichange karata vzr. Vingnevo watawafaidisha watu!!
 
Ulieleta bandiko una roho mbaya Sana,angekua na marisasi mngeenda kukamata kaburi?
Kama kijana au mtu mzima una roho mbaya hivyo ukiwa mzee lazima itakuwa mchawi tu.
 
............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
[/QUO Hahahahahahaaa eti huenda
 
Risasi mumpige
Matibabu mumnyime
Ubunge mumpokonye
Bado ujinga mumsingizie

Kweli kuna wakati ugaidi ni haki.
Sasa hakuna amani ila kutokana majigambo na vitisho vya CCM na DOLA kuna utulivu japo nao ni FAKE.
Lakini inazidi kuonekana kuwa kuna watu ambao hata huu utulivu, usio himilivu, wameuchoka wanazidi kuongeza uchokozi/chuki.
Wananchi watakapokuja lipuka masilaha yao hayataweza kuwanyamazisha kama ilivyokuwa kwenye mapinduzi ya Ufaransa karne ya 17.
AMEN.
 
Kwa hivyo unaitangazia dunia kuwa hatuna Democracy na kiongozi wetu ni Dikteta na hapendi ushindani wa kisiasa kwenye uchaguzi, na nj rahisi kuwaweka watu rumande
 
Back
Top Bottom