la kutokufa alpofanyiwa jaribio la kusitisha maisha yake maana ni dhahiri kuwa hai ni kosa kubwa sana kwa baadhi ya walimwengu.Akamatwe kwa kosa gani?
Je waliompiga risasi wamekamatwa wangapi!
Tanzania hakuna amani kuna uwoga..mambo ya kipuuzi yanayofanyika hapa nchi nyingine balaa............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
Huu ushetani wote mmemfanyia bado mnamtafuta Uhuru wake na roho yake watakaoamua kumlipia kisasi watakuwa na makosa?Risasi mumpige
Matibabu mumnyime
Ubunge mumpokonye
Bado ujinga mumsingizie
Kweli kuna wakati ugaidi ni haki.
Kuna maisha baada ya Magu!! We jitoe ufahamu............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
Akamatwe kwa kosa gani?
Je waliompiga risasi wamekamatwa wangapi!
Ile kutangaza nia tu mumeshaanza kujiharishia.............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
Harudi huyo kamanda uchwara. Kwanza jamaa ni muoga kama kunguru.............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
Kumbe uko Dar kuna Amani?............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
Kosa la kuropoka kitu ambacho hana ushahidi. Anaumwa na chawa ya nguoni mwake bila kujijua............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
TUNDU LISSU ANAWAPA KIWEWE............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu.
#naipendaTanzania#
KUNA BAADHI WAMEKUWA MAGAIDI KWA SABABU YA UONEVURisasi mumpige
Matibabu mumnyime
Ubunge mumpokonye
Bado ujinga mumsingizie
Kweli kuna wakati ugaidi ni haki.