Tundu Lissu akirudi nchini itakuwa kama George Floyd, Tanzania itazizima

kesho c mbali
 
Hata wewe pia ni George Floyd - tutakubali maumivu ili kuondoa machungu ya wengi!
 
2020 twende na lissu, hatuwezi wapa watu kura wakishinda wanawadharau wapiga kura wenyewe. Jpm kavurunda maeneo mengi sana.utekaji, kubambikizia kesi wapinzani wake nk.
 
Acha virungu, wakatoe kabisa yale mabomu yanayokaribia kuisha muda ili wasiingie hasara.
Haahaa, ndo silaha pekee iliyobaki ya maccm.Kule marekani askari wanawaheshimu RAIA sio wachaguliwa.
 
Ninachojua watakuja kukosana na mwamba kwenye pesa za kampeni.
 
Kweli kamanda!
Arudi aje ahakikishe ile ahadi yake ya kushitakiwa MIGA na ACACIA inatekelezwa. Makamanda tunaisubiri kwa hamu.
 
Huyu jembe arudi mashoga mpumue. Naona you cant breath kwenye awamu hii kupiga kazi tu.
 
Nchi za Afrika mashariki na kati ukiacha Kenya ambayo nayo ni kiini macho kwakua (Wiliam Rutto ndio moa rushwa wakwanza Kenya officially) na bado yupo kitini nitajie nchi nyingine ambayo katiba take inaruhusu watajwa hapo kushitakiwa mahakamani wakiwa madarakani?

By the way huku kwetu kuna baadhi ya kesi zinaruhusiwa kama zile za kikatiba Mfano ni hiyo ya Job Ndugai na Cecile Mwambe dhidi ya yule wakili wa kujitegemea...
 

Toka lini kipimo chetu cha ubora wa katiba yetu ukawa ni katiba za nchi za Afrika mashariki na kati? Hata hivyo katiba ya Kenya ni far better kuliko hii ya kwetu. All in all katiba za nchi nyingi za Afrika ni katiba za kulinda uovu wa viongozi walioko madarakani.
 
My God
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…