Tundu Lissu akirudi nchini itakuwa kama George Floyd, Tanzania itazizima

Mkuu umeongea mengi sana.. mm acha nichangia moja ili kuwaachia na wengine...
Jambo la mishahara kwa wafanyakazi limewekwa sakafuni mno.... Nakumbuka Mbunge Bwege aliwai sema Mwishooooni ndo mnakuja kuwaongezea mishahara.... na ndo yanayotokea
 
Yule bwana apendi kusikia maneno hayo
 
Nadhani Mimi nawe tumeshamalizana hapa Mkuu tukutane katika mada nyingine labda sio kwenye hili tena broda CHAO
 
Hebu waulize wanacho ogopa ni kitu gani? Mbona wewe pamoja na yote ulotendewa kule mombassa bado hujaachakwenda na hata sasa upo huko ndo maana umeandika huu utopolo?
 
Hata mimi ni mwana chama wa ccm lkn kwa yanayo tendeka kwa sasa lazima nitamchagua Lissu
 
Huo ndiyo ukomo wa akili zako, yaani mtu mzima unafurahia mateso ya mwenzako kisa itikadi za kisiasa?
 
Wabongo tuna maneno mengi sana yani nahisi hata shetani huwa anatushangaa sana kwa vituko vyetu,yani tunaongea maneno buku,matendo jiti
 
Huyo wa mbeya atahangaika na jimbo lake la magogoni
Lissu karibu nyumbani.

Kuna watu wamejitangazia ufalme tayari, Madam Ummy Tanga, Madam naibu wa spiika Mbeya nadhani kapagwa amrithi Nduggae.
 
Yaani tunacho kihitaji ni kuondoa huo mzimu wa kijani, bila kujali anashinda kiongozi gani wa kutoka upinzani
 
Hawachelewi kusahau kama kuku
Serikali ya jiwe ndo wakala mkuu wa beberu, tatizo lenu nyie nyumbu wa Lumumba mna kasumba huyohuyo beberu akitoa msaada anaitwaa mhisani wa maendeleo, akisisitiza mtii utawala wa sheria jina linabadilika na kuwa beberu
 
Usinge mfungua macho
Hivyo vitisho ndio tunavyovitaka maana ndio vitaamsha hamasa ya kutosha, nchi na dunia nzima itafuatilia vizuri uchaguzi huo. Yaani hapo ndio ngoma itanoga vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…