Tundu Lissu akitoa heshima kwenye kaburi la marehemu mzee Ndesamburo

Baada ya sekeseke la jana hatimaye leo mapambano yanaendelea. Lissu amepita hapa kumpa salamu mzee wetu marehemu Ndesburo, mahali ambapo amelazwa makazi yake ya kudumu.
View attachment 1537815

Mimi nimeanza tu 'Kuvutiwa' sana na hawa 'Mabodigadi' wake, kwani wanaonekana wako 'Fiti' kabisa halafu pia wana 'Silaha' za Kisasa kabisa au?
 
Mimi nimeanza tu 'Kuvutiwa' sana na hawa 'Mabodigadi' wake, kwani wanaonekana wako 'Fiti' kabisa halafu pia wana 'Silaha' za Kisasa kabisa au?
Waambie waje nicheze nao cumittee/sparing kupima uwezo wao wa kumkabili adui.
 
Hajaenda kwenye kaburi la Nyerere ambaye alidiriki kumtusi mpaka muasisi wa chama mzee mtei akaingilia kati??
 
Mkuu Wewe 'huwaogopi' hao Mabodigadi wa Mheshimiwa Tundu Lissu? Nasikia wamepata Mafunzo yao Israeli, China na kumalizia kule Morogoro.

na Kimara pia ndio wamejifunzia mbinu za kimedani.. Kipindi katibu mkuu akiwa yule balozi wa Sweden.
 
Mkuu ungekuwepo eneo la tukio ndipo ungewajua Chadema. Kumbuka waliokimbia ni wao tena wakaenda kujificha nyuma ya mapolisi wenye silaha. Tuliwakimbiza mbaya
Mlipo wakimbiza mkapata nin au zoez la lissu alikuendelea au kaondolewa kuwania urais?
 
Ccm watashindwa na kuaibika kwa mbinu zao chafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…