Tundu Lissu akitoa heshima kwenye kaburi la marehemu mzee Ndesamburo

Tundu Lissu akitoa heshima kwenye kaburi la marehemu mzee Ndesamburo

Mlipo wakimbiza mkapata nin au zoez la lissu alikuendelea au kaondolewa kuwania urais?
Wahuni wanakuja kutuvamia kwenye ofisi zetu ili kuvuruga amani yetu. Na nakuhalikishia Sabaya akiendelea hivi na ujinga wake basi akiiona octoba 28 akatambike! Mpe salamu kuwa atajikuta ulinzi anaodhani kuwa anao atajikuta siku akiwa kati ndipo atajua kuwa zama za kuchezeana zilishaisha!
 
Baada ya sekeseke la jana hatimaye leo mapambano yanaendelea. Lissu amepita hapa kumpa salamu mzee wetu marehemu Ndesburo, mahali ambapo amelazwa makazi yake ya kudumu.
View attachment 1537815
Ndesamburo kwa Moshi Mjini na Vijijini he's like God!

Mtoto wake lazima achukue Ubunge Moshi Vijijini!

Na sio kwamba huyo mtoto ni some token useless bunny,she has made her way in kwa nguvu zake mwenyewe na she has proven records!

I cant wait to see how she makes CCM run for their money in that election!

We will see casualities!
 
Mi nimependa tu sehemu alipopumzishwa mzee

nzuri sana nadhani jioni ningekua mm n mtoto wake

ningekua napata breakfast eneo hilo na jion nikipumzika

naenda zangu kupumzika hapo,though mtu akifariki hana thaman

ila i like that place kwakweli ingekua ndio eneo langu la kudeka nikiumizwa huko.
 
Mimi nimeanza tu 'Kuvutiwa' sana na hawa 'Mabodigadi' wake, kwani wanaonekana wako 'Fiti' kabisa halafu pia wana 'Silaha' za Kisasa kabisa au?
Hawana lolote walikimbizwa na wanywa gongo wa hai
 
Mimi nimeanza tu 'Kuvutiwa' sana na hawa 'Mabodigadi' wake, kwani wanaonekana wako 'Fiti' kabisa halafu pia wana 'Silaha' za Kisasa kabisa au?
Nilikuwa najiuliza kwa nini anatumia gari fupi (Saloon car) kwenye safari ndefu hivyo? Nimejua sababu sasa, ile kitu pyu pyu hazipenyi
 
hao bodiguard ni wa serikali au binafsi?
 
Yaani awamu ya tano wangekuwa na akili timamu Wala wasingemgusa Tena Lissu , yaani maboya yanaonekana through chip all over the world kwa tukio la la kipimbi la uvamizi wa Hai.
 
Back
Top Bottom