Tundu Lissu akiwa DPP mpya, unadhani nini kitatokea?

Kama Kweli Mh Samia Raisi wetu amedhamilia kuchanganya na asiye wa Chama chake kufanya kazi ktk serikali yake, na ambapo pia ni Jambo Jema linaloleta amani, na ingawa Kweli pia serikali inapokuwa haifanyi vizuri, na ikichafuka kupitia mtu mmoja inawachafua wote hata na wasiokuwa wa Chama hicho...!

Basi ningependa Mh lissu ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya nje! Nafasi hiyo anaiweza na atafanya vizuri kuliko hiyo ya sheria,

Itamfaa Sana huyu jamaa
Mambo ya nje ya choo!
 
Angefanya kazi kwa kufuata sheria, kanuni taratibu zilizopo kama Biswalo tuu

Wala hapangekua na jipya
Mmeanza kunyooka si mlikuwa mkisema wakati wa Shujaa wenu mazeze kuwa Lissu akitia mguu Tanzania mtamchoma Sindano ya Sumu kali
 
Kwa CCM hii haiwezi tokea kabisa.
Endeleea kuota.
 
Itakua kama mkate mkubwa kama Boflo kulowekwa kwenye chai,naomba sana apewe hiyo nafasi kelele ziishe.
 
Yani nyie mnavituko mnadhani Lissu ni Anna yule Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Lissu ndio MTU pekee alikuwa na uwezo wa kumsema na kumkosoa Magufuli katika hii Nchi,ndio mwanaume pekee aliye mgaragaza Magufuli huku Nchi nzima mkiwa mumejifunika mashuka mnaangalia movie yao hebu kuwa serious kidogo basi.

Halafu Leo uje MPE cheo cha DPP cheo kidogo kuliko piliton huko kutakuwa kumdharirisha.cheo pekee kinacho mfaa lissu ukitoa huo Urais labda Waziri kwa mbali sana.

Anafaa kuwa na cheo gani basi?

Urais siyo?

Hicho kina mtu tayari hata kama hana political legitimacy...

Naweza kukuelewa ukisema hivi, Lissu hawezi kupokea cheo cha kupewa na maCCM...!
 
ni kweli...

there is nothing impossible under the sun but somethings we best leave them as fairy tales for now
 
Tatizo mnamkuza sana Lissu as if Sio binadamu. Wakati facts zinaonyesha kabisa kuwa hata kujitawala tu hawezi. Kuwa kiongozi Ni zaidi ya kuwa mpiga kelele bila Break.

Lakini upande wa Pili wa Shilling mtu anaposema Ukweli kuhusu haya sio adui. Kosa kubwa Ni nyie kufumba macho na mkamfananisha na Dr. Slaa. Ambaye utendaji Wake wenye matokeo ulionekana. Mnabaki na wapiga domo tu.

Ndio Tz. Ona hata wasomi wakali unakuta Ana followers 10 Lakini mkaa uchi au hata james delicious hana malaki ya followers mtandaoni. Ukubwa wa Pia sio wingi wa kamasi. Yeye atulie ubelgiji Kuna mfaa. Au awe mwanachama wa taarabu.
Nime - LIKE jibu lako lakini sijakuelewa...

Kwani una maana gani kusema "tunamtukuza" sana?
 
Inaweza kuwa kama ndoto, lakini mambo haya hutokea...

Hakuna aliyejua kuwa Mzee John P. Magufuli angekufa mwezi uliopita. Wengi walidhani na hata kuanza kufikiri kubadili katiba ya nchi ili imruhusu atawale milele...

Yaani walidhaniaga ni kweli kabisa yeye ni JIWE na kwa hiyo haliwezi kufa kwa sababu liliumbwa hivyo....kutokufa..!

Mara paah, katika wakati ambao hakuna aliyedhani na from NO WHERE mzee wa watu kabatizwa jina jipya, "MWENDAZAKE".....yaani akafa kifo cha mwili, kifo cha kawaida..

Sasa lipo hili. Ni gumu lakini FROM NO WHERE, linaweza kutokea hata kuacha midomo ya wahifidhina wa CCM wazi wasijue nini kimetokea na nini cha kufanya kuzuia lisiwe.!!

Si mama a.k.a "Malkia wa sauti nyororo" amesema, ktk kuteua watu wa kumsaidia na kusadia kusukuma maendeleo ya nchi mbele hatajali sana "kuta" za itikadi za kisiasa...?

Sasa, fikiri nje ya box kidogo.

Kwamba, mara waaah bin vuuh, anaamua kusafiri hadi Ubelgiji na kuamua kumleta Tundu A. M Lissu na kisha kumteua kuwa DPP, unafikiri nini kitatokea..?

Wallahi, CCM kutachafuka. Nafikiri pia kuwa, serikali yote ukiondoa Rais Samia Suluhu Mwenyewe itakuwa "under cold protest" kwa hofu ya usalama wao...!!

Remember this, THERE IS NOTHING IMPOSSIBLE UNDER THE SUN...
Je, Lissu atamua kuachana na harakati za siasa? Maana DPP ni mtumishi wa umma hivyo hapaswi kuwa mwanasiasa.
 
Tatizo mnamkuza sana Lissu as if Sio binadamu. Wakati facts zinaonyesha kabisa kuwa hata kujitawala tu hawezi. Kuwa kiongozi Ni zaidi ya kuwa mpiga kelele bila Break.

Lakini upande wa Pili wa Shilling mtu anaposema Ukweli kuhusu haya sio adui. Kosa kubwa Ni nyie kufumba macho na mkamfananisha na Dr. Slaa. Ambaye utendaji Wake wenye matokeo ulionekana. Mnabaki na wapiga domo tu.

Ndio Tz. Ona hata wasomi wakali unakuta Ana followers 10 Lakini mkaa uchi au hata james delicious hana malaki ya followers mtandaoni. Ukubwa wa Pia sio wingi wa kamasi. Yeye atulie ubelgiji Kuna mfaa. Au awe mwanachama wa taarabu.
Point of correction:
•Hana [×]
•Ana [√]
 
Inaweza kuwa kama ndoto, lakini mambo haya hutokea...

Hakuna aliyejua kuwa Mzee John P. Magufuli angekufa mwezi uliopita. Wengi walidhani na hata kuanza kufikiri kubadili katiba ya nchi ili imruhusu atawale milele...

Yaani walidhaniaga ni kweli kabisa yeye ni JIWE na kwa hiyo haliwezi kufa kwa sababu liliumbwa hivyo....kutokufa..!

Mara paah, katika wakati ambao hakuna aliyedhani na from NO WHERE mzee wa watu kabatizwa jina jipya, "MWENDAZAKE".....yaani akafa kifo cha mwili, kifo cha kawaida..

Sasa lipo hili. Ni gumu lakini FROM NO WHERE, linaweza kutokea hata kuacha midomo ya wahifidhina wa CCM wazi wasijue nini kimetokea na nini cha kufanya kuzuia lisiwe.!!

Si mama a.k.a "Malkia wa sauti nyororo" amesema, ktk kuteua watu wa kumsaidia na kusadia kusukuma maendeleo ya nchi mbele hatajali sana "kuta" za itikadi za kisiasa...?

Sasa, fikiri nje ya box kidogo.

Kwamba, mara waaah bin vuuh, anaamua kusafiri hadi Ubelgiji na kuamua kumleta Tundu A. M Lissu na kisha kumteua kuwa DPP, unafikiri nini kitatokea..?

Wallahi, CCM kutachafuka. Nafikiri pia kuwa, serikali yote ukiondoa Rais Samia Suluhu Mwenyewe itakuwa "under cold protest" kwa hofu ya usalama wao...!!

Remember this, THERE IS NOTHING IMPOSSIBLE UNDER THE SUN...
huyu aliesema tutashtakiwa MIGA au mwingine
 
Je, Lissu atamua kuachana na harakati za siasa? Maana DPP ni mtumishi wa umma hivyo hapaswi kuwa mwanasiasa.

Wewe unafikirije kwani?

Umesahau kuwa ktk maisha kuna kitu kinaitwa "sphere of influence" au "boundaries of influence"

Nadhani umenielewa...
 
Back
Top Bottom