Tundu Lissu akiwa DPP mpya, unadhani nini kitatokea?

Mambo ya nje ya choo!
 
Angefanya kazi kwa kufuata sheria, kanuni taratibu zilizopo kama Biswalo tuu

Wala hapangekua na jipya
Mmeanza kunyooka si mlikuwa mkisema wakati wa Shujaa wenu mazeze kuwa Lissu akitia mguu Tanzania mtamchoma Sindano ya Sumu kali
 
Kwa CCM hii haiwezi tokea kabisa.
Endeleea kuota.
 
Itakua kama mkate mkubwa kama Boflo kulowekwa kwenye chai,naomba sana apewe hiyo nafasi kelele ziishe.
 

Anafaa kuwa na cheo gani basi?

Urais siyo?

Hicho kina mtu tayari hata kama hana political legitimacy...

Naweza kukuelewa ukisema hivi, Lissu hawezi kupokea cheo cha kupewa na maCCM...!
 
ni kweli...

there is nothing impossible under the sun but somethings we best leave them as fairy tales for now
 
Nime - LIKE jibu lako lakini sijakuelewa...

Kwani una maana gani kusema "tunamtukuza" sana?
 
Je, Lissu atamua kuachana na harakati za siasa? Maana DPP ni mtumishi wa umma hivyo hapaswi kuwa mwanasiasa.
 
Point of correction:
•Hana [×]
•Ana [√]
 
huyu aliesema tutashtakiwa MIGA au mwingine
 
Je, Lissu atamua kuachana na harakati za siasa? Maana DPP ni mtumishi wa umma hivyo hapaswi kuwa mwanasiasa.

Wewe unafikirije kwani?

Umesahau kuwa ktk maisha kuna kitu kinaitwa "sphere of influence" au "boundaries of influence"

Nadhani umenielewa...
 
Itakua kama mkate mkubwa kama Boflo kulowekwa kwenye chai,naomba sana apewe hiyo nafasi kelele ziishe.
Kelele zitaisha wakati tuna Katiba Mpya na Tume Mpya HURU ya Uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…