Tundu Lissu akiwa DPP mpya, unadhani nini kitatokea?

Haki, Lissu mpenda haka
 
Kama nakuelewa vilee😎
Na lile angalizo kwa Wazee juzi bila shaka kunaweza kuwepo na cha kuistaajabisha jamii siku si nyingi.
 
Mmeanza kunyooka si mlikuwa mkisema wakati wa Shujaa wenu mazeze kuwa Lissu akitia mguu Tanzania mtamchoma Sindano ya Sumu kali

Kunyooka mmenyooka nyie mnaompigia salute Ironlady zao bora kabisa la shujaa JPM

Huyo Tundu anaendelea kukimbia bila kukimbizwa mbio za laana ya uongo
 
Magereza yatabaki matupu au wafungwa watalala na kugeuka vizuri,maana wahabusu wengi wataachiwa
 
Anaweza Sana
Baada ya zile risasi watu alidai hatorudi kwenye siasa wala nchini mwake.
Alirudi na nondo alizipiga kisawasaw
Zile nondo kaka sio za mchezo. Stress alizompiga jamaa zimeleta athari kubwa hadi mzee kaondoka
 
Kunyooka mmenyooka nyie mnaompigia salute Ironlady zao bora kabisa la shujaa JPM

Huyo Tundu anaendelea kukimbia bila kukimbizwa mbio za laana ya uongo
shujaa aliyekufa kilofa
 
Kama nakuelewa vilee😎
Na lile angalizo kwa Wazee juzi bila shaka kunaweza kuwepo na cha kuistaajabisha jamii siku si nyingi.
Isije kuwa ni mbinu za kutaka kupunguza nguvu ya wapinzani maana 2025 sio Mbali tukiwa hai moto ni ule ule
 
Nyie konokono akili yenu na macho yenu hayaoni mbali zaidi ya umbali wa sahani ya ugali.
Tulipowaambia Jiwe halitamaliza hata ile miaka 10 mkabisha na kuendelea na kampeni yenu ya kumpa Jiwe utawala wa milele.
Haya mpeni sasa
Rabda awe DPP wa mahakama ya Nungwi au Chakechake
 
Kunyooka mmenyooka nyie mnaompigia salute Ironlady zao bora kabisa la shujaa JPM

Huyo Tundu anaendelea kukimbia bila kukimbizwa mbio za laana ya uongo
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Lisu maneno kibao hana hekima ya kupewa cheo nyeti kama hichoo. Yeye aendelee kunufaisha wana mitandaoni huko huko
Katika harakati za kiasiasa ulimuona na makosa gani yaliyokubalika kisheria mbali na kesi za kubumba?

Anapenda haki na atatenda haki na ameonesha hayo kabla.
 
Angefanya kazi kwa kufuata sheria, kanuni taratibu zilizopo kama Biswalo tuu

Wala hapangekua na jipya
Biswalo Nadhani kakataa kuwatoa akina sethi, ndo maana kaondolewa. Tutamkumbuka sana
 
Katika harakati za kiasiasa ulimuona na makosa gani yaliyokubalika kisheria mbali na kesi za kubumba?

Anapenda haki na atatenda haki na ameonesha hayo kabla.
Mwambie apeleke ushaidi wake juuu ya kushambuliwa kwake. Mpenda haki anakimbia kesi mahakamanii?? Hata kama nizakubambikizwa ndotungeona anavyozipangua kwa sheria, siokukimbilia huko kwa beberuuu.
 
Haiwe
Haiwezi kutokea na inaonekana umekula mayai viza sasa unacheua uhalo bila kujijua.
Yaani apewe msariti wa nchi?

Tundu lisu anatakiwa kuwa mlinzi tu huko aliko au awaoshe wazee vinyesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…