Tatizo mnamkuza sana Lissu as if Sio binadamu. Wakati facts zinaonyesha kabisa kuwa hata kujitawala tu hawezi. Kuwa kiongozi Ni zaidi ya kuwa mpiga kelele bila Break.
Lakini upande wa Pili wa Shilling mtu anaposema Ukweli kuhusu haya sio adui. Kosa kubwa Ni nyie kufumba macho na mkamfananisha na Dr. Slaa. Ambaye utendaji Wake wenye matokeo ulionekana. Mnabaki na wapiga domo tu.
Ndio Tz. Ona hata wasomi wakali unakuta Ana followers 10 Lakini mkaa uchi au hata james delicious hana malaki ya followers mtandaoni. Ukubwa wa Pia sio wingi wa kamasi. Yeye atulie ubelgiji Kuna mfaa. Au awe mwanachama wa taarabu.