Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Kama nia ya CCM, serikali zake na dola ni kumwekea doa Tundu Lissu kwa kumhukumu katika kesi ya Uhaini ili akose sifa za kuwania au kuwa Rais wa JMT, wanaweza kuwa wanafanya kosa kubwa kwao la kisiasa.
Lissu akiwa "Kingmaker", atakuwa na nguvu na ushawishi mkubwa zaidi na labda anaweza kufanya mambo mengi zaidi hata kuliko yeye ndiyo angegombea au kuwa Rais.
Kwanza atakuwa hana tena pressure ya kuprove kuwa yeye ni "presidential material" ila imani ambayo atakuwa ameijenga kwa umma na wananchi itafanya akiyoosha kidole kuwa huyu hafai, unapoteza sifa za uongozi. Akisema huyu anafaa, wananchi watakwenda na mtu huyo.
Lissu akiwa Kingmaker atakuwa na ushawishi wa mabadiliko ya sheria, sera na mwelekeo wa nchi bila pressure ya moja kwa moja ya uwajibikaji wa kisiasa.
Bila kukusudia, CCM, serikali zake na dola kupitia kesi ya uhaini inaweza kumtengeneza Lissu awe mwanasiasa wa dizaini ya Nyerere aliyeng'atuka.