Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Sirari

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Sirari

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote.

Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio kuwa na hatia ili usifungwe kabla ya kukutwa na hatia ni lazima waruhusu dhamana. Amesema hiyo itapunguza mianya ya rushwa na ubambikizwaji wa kesi za uongo.

Aidha amesema Oktoba 29 itakuwa mwisho wa manyanyaso kwa watu wa mpakani ambao mara kwa mara wanaambiwa sio raia.

Amesema kila mmoja atatendewa haki kwa kila mtu ikiwemo mapolisi. Pia amewataka polisi kuacha kufuata amri haramu za kutesa wananchi.

Tatizo la CCM wanatumia muda sana kumsikiliza Lissu wakati wamefungia vyombo vya habari kumripoti. Ajabu sasa!! Wanaita Press wanajibu aliyosema Lissu wakiwa live huku wakirudia yale aliyoyasema bila kujua ndo wanatuhabarisha habari za Lissu. Asanteni sana CCM mpya.
 
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote.

Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio kuwa na hatia ili usifungwe kabla ya kukutwa na hatia ni lazima waruhusu dhamana. Amesema hiyo itapunguza mianya ya rushwa na ubambikizwaji wa kesi za uongo.

Aidha amesema Septemba 29 itakuwa mwisho wa manyanyaso kwa watu wa mpakani ambao mara kwa mara wanaambiwa sio raia.

Amesema kila mmoja atatendewa haki kwa kila mtu ikiwemo mapolisi. Pia amewataka polisi kuacha kufuata amri haramu za kutesa wananchi.

Lissu anakubalika kila kona ya nchi, hili jambo linaichanganya ccm sana naona sasa wameanza kucheza faul. Lissu songa mbele ushindi upo karibu.
 
Lissu Ni rais moja kwamoja hana mpinzani tena , ndiyo maana ccm imechanganyikiwa
 
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote.

Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio kuwa na hatia ili usifungwe kabla ya kukutwa na hatia ni lazima waruhusu dhamana. Amesema hiyo itapunguza mianya ya rushwa na ubambikizwaji wa kesi za uongo.

Aidha amesema Oktoba 29 itakuwa mwisho wa manyanyaso kwa watu wa mpakani ambao mara kwa mara wanaambiwa sio raia.

Amesema kila mmoja atatendewa haki kwa kila mtu ikiwemo mapolisi. Pia amewataka polisi kuacha kufuata amri haramu za kutesa wananchi.

Ni yeyeeee
 
Wanajishau wanajua huyu Ni sawa na Lowahasa, Neno moja tu nakumbuka kwake," Elimu, Elimu, Elimu" Mengine kasome kwa website ya Chadema.

Huyu ni Mwanasheria Msomi, Gwiji.Ngoja tuone Mwisho wake.
 
Daah huyu mtu ni mwanaharakati na sio presidential material.

Kwa maana hiyo Hadi makosa ya Uhaini na mauaji yatakuwa na dhamana??
 
[SUB]Lisu mi nakushauri tutumie uchawi ujigeuze uwe Magu halafu ukishafika ikulu hamad wanakuta ni Lisu ...(kazi hiyo bibi yangu anaiweza)[/SUB]

[SUB]ila tofauti na hapo unatutamanisha sela ambazo tutaishia kuzisikia tu[/SUB]
 
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote.

Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio kuwa na hatia ili usifungwe kabla ya kukutwa na hatia ni lazima waruhusu dhamana. Amesema hiyo itapunguza mianya ya rushwa na ubambikizwaji wa kesi za uongo.

Aidha amesema Oktoba 29 itakuwa mwisho wa manyanyaso kwa watu wa mpakani ambao mara kwa mara wanaambiwa sio raia.

Amesema kila mmoja atatendewa haki kwa kila mtu ikiwemo mapolisi. Pia amewataka polisi kuacha kufuata amri haramu za kutesa wananchi.

Kanda ya Ziwa na Tanzania nzima imeshamua mwaka huu. Tunaenda na Tundu Antiphas Lissu

Tundu Antiphas Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
 
Back
Top Bottom