Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote.
Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio kuwa na hatia ili usifungwe kabla ya kukutwa na hatia ni lazima waruhusu dhamana. Amesema hiyo itapunguza mianya ya rushwa na ubambikizwaji wa kesi za uongo.
Aidha amesema Oktoba 29 itakuwa mwisho wa manyanyaso kwa watu wa mpakani ambao mara kwa mara wanaambiwa sio raia.
Amesema kila mmoja atatendewa haki kwa kila mtu ikiwemo mapolisi. Pia amewataka polisi kuacha kufuata amri haramu za kutesa wananchi.