Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mbuyaa tataNi yeye
Lissu anakubalika kila kona ya nchi, hili jambo linaichanganya ccm sana naona sasa wameanza kucheza faul. Lissu songa mbele ushindi upo karibu.Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote.
Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio kuwa na hatia ili usifungwe kabla ya kukutwa na hatia ni lazima waruhusu dhamana. Amesema hiyo itapunguza mianya ya rushwa na ubambikizwaji wa kesi za uongo.
Aidha amesema Septemba 29 itakuwa mwisho wa manyanyaso kwa watu wa mpakani ambao mara kwa mara wanaambiwa sio raia.
Amesema kila mmoja atatendewa haki kwa kila mtu ikiwemo mapolisi. Pia amewataka polisi kuacha kufuata amri haramu za kutesa wananchi.
Ni yeyeeeeMgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote.
Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio kuwa na hatia ili usifungwe kabla ya kukutwa na hatia ni lazima waruhusu dhamana. Amesema hiyo itapunguza mianya ya rushwa na ubambikizwaji wa kesi za uongo.
Aidha amesema Oktoba 29 itakuwa mwisho wa manyanyaso kwa watu wa mpakani ambao mara kwa mara wanaambiwa sio raia.
Amesema kila mmoja atatendewa haki kwa kila mtu ikiwemo mapolisi. Pia amewataka polisi kuacha kufuata amri haramu za kutesa wananchi.
Uhoyire mura?Mbuyaa Mbuyaa
Mwanadamu yeyote mwenye uhai ni mwanaharakati,Marehemu pekee ndo hukosa harakati.Daah huyu mtu ni mwanaharakati na sio presidential material.
Kwa maana hiyo Hadi makosa ya Uhaini na mauaji yatakuwa na dhamana??
Kanda ya Ziwa na Tanzania nzima imeshamua mwaka huu. Tunaenda na Tundu Antiphas LissuMgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote.
Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio kuwa na hatia ili usifungwe kabla ya kukutwa na hatia ni lazima waruhusu dhamana. Amesema hiyo itapunguza mianya ya rushwa na ubambikizwaji wa kesi za uongo.
Aidha amesema Oktoba 29 itakuwa mwisho wa manyanyaso kwa watu wa mpakani ambao mara kwa mara wanaambiwa sio raia.
Amesema kila mmoja atatendewa haki kwa kila mtu ikiwemo mapolisi. Pia amewataka polisi kuacha kufuata amri haramu za kutesa wananchi.
Kwann yasiwe na dhamanaDaah huyu mtu ni mwanaharakati na sio presidential material.