Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hakika uchaguzi huu pele limepata mkunaji. Rick Rose anaimba..the bigger the bullet the more that it makes bang.
Bang redView attachment 1559916
View attachment 1559917
Hakika uchaguzi huu pele limepata mkunaji. Rick Rose anaimba..the bigger the bullet the more that it makes bang.
Safi sana Mbeya naona umati mrefu mpaka Zambia, mmeonesha njia kama kawaida yenu.View attachment 1559916
View attachment 1559917
Hakika uchaguzi huu pele limepata mkunaji. Rick Rose anaimba..the bigger the bullet the more that it makes bang.
Kujibu kunapoteza muda wa kutoa sera za chama. Time managementTundu Lissu you are unbelievable!
Dada Lisu hawezi kuwa rais katika nchi yeyote duniani,,Ee Mungu mpitishe Lissu awe Raisi [emoji1488]
nimemuonea huruma SamiaJohn hamuwezi Lisu. Bahati mbaya Samia naye kajichomeka ndani ya 18. Siku Lisu akiamua kumfyatukia mama ataacha hata kupiga kampeni.
Muache aendelee. Kuna siku atajuta kumtaja Lisu.nimemuonea huruma Samia
Hoja nzito wanaikwepa.Kauli ya Mama Samia ni kama vile hawakuielewa. Mama habishi kwamba Lissu alipigwa risasi. Anachomaanisha Samia ni kwamba wapigaji wale hawakuwa askari wa Tanzania maana wao wamefundishwa kuua kwa risasi 3 maximum - la sivyo, watawajibishwa!
Labda Samia anawajua hao `'amateurs`' waliotumwa kufanya ile kazi!
Wafuasi wa jiwe akilizenu ni robo kijiko kweli,hebu soma vizuri uelewe alichosema Rais wako ajaye Mh.LissuHaha mwanasheria mwongo ,
Anasema huko Rufiji wamekufa watu zaidi ya mia nne (400) halafu anamalizia kwa kusema takwimu halisi hazijulikani kwani serikali imeficha hizo takwimu sasa yeye kapata vipi hiyo idadi Kama takwimu halisi hazijulikani,
Jamaa porojo zimezidi.
Kwanini amiminiwe Risasa hicho ndio kikubwa zaidi.??????????????Kauli ya Mama Samia ni kama vile hawakuielewa. Mama habishi kwamba Lissu alipigwa risasi. Anachomaanisha Samia ni kwamba wapigaji wale hawakuwa askari wa Tanzania maana wao wamefundishwa kuua kwa risasi 3 maximum - la sivyo, watawajibishwa!
Labda Samia anawajua hao `'amateurs`' waliotumwa kufanya ile kazi!