Tundu Lissu akiwajibu tit for tat "wagombea urais" wa CCM

Wakulungwa yule magufuli anayeongea akiwa na mamlaka; kupiga mashangazi, kuua wasaliti, kuwanyima chakula wenye njaa, kubadili matumizi ya pesa za rambirambi...yule ndio magu halisi.

Huyu wa kwenye kampeni anatuektia tu.
Na akirudi huyu tutakoma mara saba.
 
Ee Mungu mpitishe Lissu awe Raisi [emoji1488]
Dada Lisu hawezi kuwa rais katika nchi yeyote duniani,,

Havuki 20% ya kura sasa huo urais anaupatia wapi?

Beberu wake Amsterdam mwenyewe kashakata tamaa ni siku karibu 3 sasa haja twit kumpigia chapuo mteja wake,,


Yani katika huu uchaguzi wa mwaka huu Lisu atafurahi mwenyewe na roho yake.

Na wanachi tutamnyoosha, hatuchagui rais wa kuongoza nchi kwa matakwa ya amsterdam sisi
 
Haha mwanasheria mwongo ,

Anasema huko Rufiji wamekufa watu zaidi ya mia nne (400) halafu anamalizia kwa kusema takwimu halisi hazijulikani kwani serikali imeficha hizo takwimu sasa yeye kapata vipi hiyo idadi Kama takwimu halisi hazijulikani,

Jamaa porojo zimezidi.
 
Kauli ya Mama Samia ni kama vile hawakuielewa. Mama habishi kwamba Lissu alipigwa risasi. Anachomaanisha Samia ni kwamba wapigaji wale hawakuwa askari wa Tanzania maana wao wamefundishwa kuua kwa risasi 3 maximum - la sivyo, watawajibishwa!

Labda Samia anawajua hao `'amateurs`' waliotumwa kufanya ile kazi!
 
Hoja nzito wanaikwepa.
 
Wafuasi wa jiwe akilizenu ni robo kijiko kweli,hebu soma vizuri uelewe alichosema Rais wako ajaye Mh.Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini amiminiwe Risasa hicho ndio kikubwa zaidi.??????????????
kwa nini hawataki uchunguzi huru??
Kwa nini wanabania CCTV camera.???
Kwanini walimbania matibabu???
Kwa nini wamdhurumu ubunge???
Kwa nini wambambikizie kesi zote hizo?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…