Tundu Lissu akiwajibu tit for tat "wagombea urais" wa CCM


mim nitampigia kura Lissu
 
Mama hakupaswa hata kufanya rejeo la kijinga namna hii. Kwa mamlaka yake, alipaswa awe ameyatumia vyema kuhakikisha ukweli wa tukio lile unakuwa wazi ili haki itendeke badala ya kujiingiza kwenye propaganda za kipumbavu.
Ukiwauliza mazingira ya tukio (usalama wa eneo ni very tight) lakini wapi walienda askari wa getini? CCTV Camera zimeenda wapi? Ushahidi ambao Jeshi la polisi lilisema limekamilisha ikiwemo CCTV Camera uko wapi?
 
Hicho ndicho tunahoji. Yeye ni rais pia. Hakupaswa kuwa na majibu ya kubahatisha kuhusi lile tukio. Sasa limebakifaya.
 
Sawa jaribu
Ni bahati mbaya nchi hii inawafia vyama wengi kuliko wafia nchi.Ila ukiangalia quality ya Lissu,Magufuli na membe in term of competency zao katika Mambo yanayohusu nchi yetu and dunia,Magu ni kilaza sana ni bahati mbaya amekuwa rais wa nchi yetu kwa miaka mitano,hatoshi ndo maana ameua kila sector ya uchumi wa nchi yetu
 
Kabisa hafai hata kuwa katibu kata.
 
Yule bwana ni mweupe sana kichwani kupitia anavyopiga kampeni sijui ile PhD ya korosho aliipata vipi hali ni doomy kuhusu modern world
 
Tutalimia meno?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…