Tundu Lissu akiwajibu tit for tat "wagombea urais" wa CCM

Hicho ndicho tunahoji. Yeye ni rais pia. Hakupaswa kuwa na majibu ya kubahatisha kuhusi lile tukio. Sasa limebakifaya.
Vice President (kikatiba bado) anakuwa 'mropokaji' kiwango hiki kwa sababu ya kutetea 'tumbo' ni hatari sana.

Hakuna mtu ndani ya Serikali wala chama (CCM) anaweza kuja mbele ya umma kueleza kwamba 'DOLA' haina mkono kwenye lile tukio akaeleweka.
 
Kuna hoja gani nzito hapa? Hakuna scientific wala domestic proof kwamba kifo cha mtu kinategemea idadi ya risasi 3. Huyu Mama amekengeuka maana tukio la Lisu limeiacha Serikali uchi kabisa.
Wewe na Lisu bado hamjamuelewa huyo mama, Kunyweni maji Kwanza mkae chini ndio mjibu hoja yake.
 
Thus azory aliuwa
 
Ni mweupe sana kwenye reasoning labda kwenye claiming
 
Njaa ya miaka 5 ni kura tosha
 
Noma sana.
 
Reactions: BAK
Kabisa hafai hata kuwa katibu kata.
lakini utashangaa mtu mwenye au aliyewahi kuwa na cheo cha jaji haoni hii incompetency ya Magu na anafikiria kumshindisha,yaani sisi watanzania sijui tunafikiria kwa kutumia kiungo gani aisee?
 
lakini utashangaa mtu mwenye au aliyewahi kuwa na cheo cha jaji haoni hii incompetency ya Magu na anafikiria kumshindisha,yaani sisi watanzania tunafikiria kwa kutumia kiungo gani?
Ni matumbo yao tu yanawatuma waendelee kula kodi zetu.
 

Wee Bashite hebu nenda kampakate yule mama wa rithathi tatu.
 
Mwenyezi Mungu amlinde Mh Tundu Lissu. Mungu ampe ulinzi jamani. Yani naona hiyo October 28 ni mbali. Jamani Mzee wetu Lissu ujichunge na wewe mwenyewe pia na kumuomba sana Mungu.
 
Lissu kavutwa katoka kwenye reli,atamuweza wapi mwanamke kwa mipasho
Uchaguzi huu ni mwepesi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…