Tundu Lissu akiwajibu tit for tat "wagombea urais" wa CCM

John hamuwezi Lisu. Bahati mbaya Samia naye kajichomeka ndani ya 18. Siku Lisu akiamua kumfyatukia mama ataacha hata kupiga kampeni.
Kwa jinsi ninavyomjua Lissu, wala hatachelewa kumjibu huyo Mama, hadi ajutie hiyo kauli yake ya kumtetea Jiwe wake
 

kakojowe ukalale
 
Wamefanya siasa miaka 5,lakini kwa mtiti ule wa mbeya , nayakumbuka ya Fenella Mkangala aliambiwa na raid kikwete akagombee jimbo la kibamba. Kilichomkuta ndio kitakachomkuta hyo aliyetumwa na Magufur
 

Kama anawajua anashangaa nini basi?

Aliyewatuma pia atakuwa anawajua kama yeye.

Wote ni wa uwaji tu.
 
Huyu Lissu mkithubutu kulitamka Jina lake Wana Kijani..,angalieni jinsi anavyowajibu kwa hoja. Jitahdn kulikwepa hili Jina,akijibu hoja zenu anawagaragaza kabsaa jukwaani..katika kosa mlilolifanya ni kushindwa kuwakamata waliotishia kuondoka uhai wake. Think tank yenu hapa iliwauza kabsaa.!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Tena kwenye hiyo mikoa wanapojaa kwa wapinzani eeee bhagoja.. mwafaaa
 
Hili jibu la mama Samia, ni baada ya uchunguzi au hisia.!? Ina maana mfyatua risasi wanamjua!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…