Tundu Lissu akiwasili mahakamani kwa ulinzi mkali

Waafrikia tuna shida sana. something is wrong somewhere. Mioyo yetu imejaa giza, midomo yetu imejaa uongo na akili zetu ziko polluted kama vile hazifanyi kazi vizuri. We can not achieve anaything kwa jinsi hii. Tunahitaji mageuzi ya akili na fikra jinsi ya kupambanua vitu ili tuwe na mazingara rafiki ya kuendeleza nchi zetu hizi zinzoitwa bara la giza. Kwa jinsi hii tutaendelea kungangania madaraka kwa ajili ya umaskini na kuua wengine bila sababu ili mimi na watoto wangu tuishi vizuri bila kujua kwamba yote hayo yatageuka siku moja maana huwezi kuwa tajiri among the poor people wakuache salama. Mwisho wa yote tujue kuna Mungu mbinguni anayeona yote unayonfanyia mwenzako au jirani yako yawe mema au mabaya. Tujifunze kutenda mema siku zote na wewe ambaye umeamua kutenda mabaya endelea tu maana there is a day that you will face the consequences of you wrong doings.
Umeongea vema sana, ila nakuhakikishia hivyo ving'ora vitageuzwa kuwa vya Heshima na Utukufu kwa Mungu.
 
Waafrikia tuna shida sana. something is wrong somewhere. Mioyo yetu imejaa giza, midomo yetu imejaa uongo na akili zetu ziko polluted kama vile hazifanyi kazi vizuri. We can not achieve anaything kwa jinsi hii. Tunahitaji mageuzi ya akili na fikra jinsi ya kupambanua vitu ili tuwe na mazingara rafiki ya kuendeleza nchi zetu hizi zinzoitwa bara la giza. Kwa jinsi hii tutaendelea kungangania madaraka kwa ajili ya umaskini na kuua wengine bila sababu ili mimi na watoto wangu tuishi vizuri bila kujua kwamba yote hayo yatageuka siku moja maana huwezi kuwa tajiri among the poor people wakuache salama. Mwisho wa yote tujue kuna Mungu mbinguni anayeona yote unayonfanyia mwenzako au jirani yako yawe mema au mabaya. Tujifunze kutenda mema siku zote na wewe ambaye umeamua kutenda mabaya endelea tu maana there is a day that you will face the consequences of you wrong doings.
Hapa wewe unamaanisha ku-achieve Kama nchi wakati unaowaambiwa wanaangalia wao wenye mamlaka wanapata nini. Wewe wanakupa 10K au kukuwekea mafuta kwenye bajaji halafu unaongozana nae siku imeisha. Tukikuambia sio hivyo unasema bwana mimi kwangu ninaona wana manufaa.
Giza ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom