johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Iko wazi kwamba wadhamini wa Tundu Lissu katika ile kesi ya uchochezi inayomkabili wameiomba mahakama iwaruhusu wajitoe.
Mahakama imewataka wadhamini wamkabidhi Lissu mahakamani ndipo wajitoe, hii maana yake Tundu Lissu atakapowasili tu atatiwa mbaroni na kutupwa rumande.
Najiuliza tu atashirikije kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais kutokea Segerea?
Kwenu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!