Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mahakama inamtafuta zaidi ya mwaka. Wadhamini wamebwaga manyanga,muwe mnasoma magazeti kama Uhuru na Mzalendo kupata ukweli.Maccm hamna akili kabisaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama inamtafuta zaidi ya mwaka. Wadhamini wamebwaga manyanga,muwe mnasoma magazeti kama Uhuru na Mzalendo kupata ukweli.Maccm hamna akili kabisaaaaa
Agustine Lyatonga Mrema mzalendo anayeipenda nchi yake.Hivi kuna mwanasiasa yeyote mahiri wa upinzani ambaye hana kesi mahakamani?
Mguseni anukeNaona kama yeye ndio ataingia mkenge!
Kifupi asijisumbue tuHatakuwa na sifa ya kugombea kwa kuwa yuko kifungoni labda akate rufaa
FactEndelea kuamini hivyo!
FactNdiyo mlichobaki nacho cha kutegemea mabeberu watz wamewakataa. Lissu ni ndoto kuongoza TZ anapoteza muda wake na familia yake tu.
Mchafu hachafuliwi bali huelezwa alivyo mchafuAje mapema yeye dereva wake.
Washalipaka sana matope jeshi la polisi.
Analopoka hovyo uko kwa mabeberu.
BORA AGOMBEE MAKONDA!!
Fact,Nchii hii bora apewe msukuma kuliko huyo msaliti
Kuliko yule aliye jiita kichaa, hadharani,.sasa happ achana na zile frustrations zake , kutwa kuteka na kumwaga damu isiyo na hatia, achana pia kupambikia watu kesi, na kisha wana mhonga kwa cash mabulungutu, ndipo anaachiwa,
TLP nacho chama cha siasa tz.Wewe utakuwa TLP maana pale Ufipa wote wanalijua hili!
CCM mnaingia mtegoni kichwakichwa!!
Lissu,kama mwanasheria,anajua yote haya ila ni wazi ana mipango yake na ili itimie,ni shariti muingie mkenge.
Naamini hivyo mimi kama mimi.
Hivi kuna mwanasiasa yeyote mahiri wa upinzani nchini Tz ambaye hana kesi mahakamani?
Kiwewe cha TAL muswada unaletwa kwa hati ya dharura ili watesi wake wapate kinga ya kutokushtakiwa. Hii ni aibu kubwa sana kwa viumbe hawa.Iko wazi kwamba wadhamini wa Tundu Lisu katika ile kesi ya uchochezi inayomkabili wameiomba mahakama iwaruhusu wajitoe.
Mahakama imewataka wadhamini wamkabidhi Lisu mahakamani ndipo wajitoe, hii maana yake Tundu Lisu atakapowasili tu atatiwa mbaroni na kutupwa rumande.
Najiuliza tu atashirikije kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais kutokea Segerea?
Kwenu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Iko wazi kwamba wadhamini wa Tundu Lisu katika ile kesi ya uchochezi inayomkabili wameiomba mahakama iwaruhusu wajitoe.
Mahakama imewataka wadhamini wamkabidhi Lisu mahakamani ndipo wajitoe, hii maana yake Tundu Lisu atakapowasili tu atatiwa mbaroni na kutupwa rumande.
Najiuliza tu atashirikije kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais kutokea Segerea?
Kwenu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo Mbweha za Lumumba Mshaanza kuogopa ?Iko wazi kwamba wadhamini wa Tundu Lisu katika ile kesi ya uchochezi inayomkabili wameiomba mahakama iwaruhusu wajitoe.