johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naona kama yeye ndio ataingia mkenge!CCM mnaingia mtegoni kichwakichwa!!
Lissu,kama mwanasheria,anajua yote haya ila ni wazi ana mipango yake na ili itimie,ni shariti muingie mkenge.
Naamini hivyo mimi kama mimi.
Wanaogopa nini bwashee?CCM ni waoga
ndiposa tutaposhuhudia mtu "akigadafiwa" na rungu la magharibi!Iko wazi kwamba wadhamini wa Tundu Lisu katika ile kesi ya uchochezi inayomkabili wameiomba mahakama iwaruhusu wajitoe.
Mahakama imewataka wadhamini wamkabidhi Lisu mahakamani ndipo wajitoe, hii maana yake Tundu Lisu atakapowasili tu atatiwa mbaroni na kutupwa rumande.
Najiuliza tu atashirikije kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais kutokea Segerea?
Kwenu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Endelea kuamini hivyo!CCM mnaingia mtegoni kichwakichwa!!
Lissu,kama mwanasheria,anajua yote haya ila ni wazi ana mipango yake na ili itimie,ni shariti muingie mkenge.
Naamini hivyo mimi kama mimi.
Ndiyo mlichobaki nacho cha kutegemea mabeberu watz wamewakataa. Lissu ni ndoto kuongoza TZ anapoteza muda wake na familia yake tu.ndiposa tutaposhuhudia mtu "akigadafiwa" na rungu la magharibi!
Wewe utakuwa TLP maana pale Ufipa wote wanalijua hili!Ndivyo mlivyopanga au unasema tu, hiyo taarifa imewahi kutolewa na mahakama lini?
Kumweka ndani tu ni kampeni tayari.Iko wazi kwamba wadhamini wa Tundu Lisu katika ile kesi ya uchochezi inayomkabili wameiomba mahakama iwaruhusu wajitoe.
Mahakama imewataka wadhamini wamkabidhi Lisu mahakamani ndipo wajitoe, hii maana yake Tundu Lisu atakapowasili tu atatiwa mbaroni na kutupwa rumande.
Najiuliza tu atashirikije kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais kutokea Segerea?
Kwenu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Kumbe!Kumweka ndani tu ni kampeni tayari.
Ndio atakamatwa,lakini atapata wadhamini wengine na atadhamiwa tenaIko wazi kwamba wadhamini wa Tundu Lisu katika ile kesi ya uchochezi inayomkabili wameiomba mahakama iwaruhusu wajitoe.
Mahakama imewataka wadhamini wamkabidhi Lisu mahakamani ndipo wajitoe, hii maana yake Tundu Lisu atakapowasili tu atatiwa mbaroni na kutupwa rumande.
Najiuliza tu atashirikije kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais kutokea Segerea?
Kwenu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Una uhakika bwashee?Ndio atakamatwa,lakini atapata wadhamini wengine na atadhamiwa tena
Maccm hamna akili kabisaaaaaIko wazi kwamba wadhamini wa Tundu Lisu katika ile kesi ya uchochezi inayomkabili wameiomba mahakama iwaruhusu wajitoe.
Mahakama imewataka wadhamini wamkabidhi Lisu mahakamani ndipo wajitoe, hii maana yake Tundu Lisu atakapowasili tu atatiwa mbaroni na kutupwa rumande.
Najiuliza tu atashirikije kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais kutokea Segerea?
Kwenu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Tunawakumbusha tu!Maccm hamna akili kabisaaaaa