Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwasili nchini atakamatwa na kuwekwa mahabusu baada ya wadhamini wake kujitoa, atafanyaje kampeni?

Hivi kuna mwanasiasa yeyote mahiri wa upinzani nchini Tz ambaye hana kesi mahakamani?
 
Kuliko yule aliye jiita kichaa, hadharani,.sasa happ achana na zile frustrations zake , kutwa kuteka na kumwaga damu isiyo na hatia, achana pia kupambikia watu kesi, na kisha wana mhonga kwa cash mabulungutu, ndipo anaachiwa,

Maneno matupu bila uthibitisho nakuweka kundi moja na lissu huwenda ukawa kichaa pia...
 
CCM mnaingia mtegoni kichwakichwa!!

Lissu,kama mwanasheria,anajua yote haya ila ni wazi ana mipango yake na ili itimie,ni shariti muingie mkenge.

Naamini hivyo mimi kama mimi.

Kama litega MIGA tukamshinda itakuwa utoporo anowaza?
 
Kiwewe cha TAL muswada unaletwa kwa hati ya dharura ili watesi wake wapate kinga ya kutokushtakiwa. Hii ni aibu kubwa sana kwa viumbe hawa.
 

Bwashee mbona simple tu, hao wamejitoa watamkabidhi Lissu mahakamani, watapatikana wadhamini wengine. Kesi yake siyo ya uhujumu uchumi wala utakatishaji pesa, kwamba haina dhamana.
 
Kwa hiyo Mbweha za Lumumba Mshaanza kuogopa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…