Tundu Lissu akutana na Azim Dewji

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426



Mfadhili wa Zamani wa Simba na Mfanyabiashara wa Tanzania , Mnyaturu wa Singida , Azim Dewji , amekutana na Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , katika kilichoitwa Kikao cha dharula , kilichofanyika kwenye Hotel moja ya Nyota 5 Jijini DSM .

Lissu na Dewji wamezungumza mengi likiwemo la Waandamanaji kuacha njia ili watu wengine wapite bila bughudha , Japo hili ni la Polisi zaidi lakini Tundu Lissu amelipokea .

Mengine yaliyozungumzwa hayatawekwa hadharani .
 
Lissu ni nyumba ya bati hakuna siri hapo!
 
Mengine yaliyozungumzwa hayatawekwa hadharani .
Sio kwa Lisu huyu ninayemjua. Huyo jamaa "compressor" ya friji lake ni mbovu. Ni sulaa la muda na mahali sahihi kwake ataropoka kila kitu. Sitegemei awe ameingia mkenge kama marehemu Mtikila aliposainishwa "petty cash voucher" na Rostitamu ikawa mwiba kwake kupambana na wale aliokuwa anawaita magabachori. Kale ka "petty cash voucher" kalivyochapishwa tu gazetini na saini yake ikaonekana basi kelele zikapungua.
 
Kwanza Dewji hana hela ya kumlipa Lissu , halafu haya mazungumzo hayahusiani na hela
 
ni vizur kusalimiana na kusabahiana kama hamna kazi ingine,

maana hii nayo ingeahirishwa na kunyimwa hiyo fursa kelele zingekua balaa, ungesika amevuruga ratiba zake muhimu nyingi tu πŸ’
 
Ni Jambo la Kheri Ndugu wakikutana na kuteta Jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…