Tundu Lissu akutana na Azim Dewji

Mo Dewji ni mwanasingida. Ukute na Azim naye ambaye ni ndugu wa Mo naye ni mwanasingida pia. Kwa hiyo wanasingida kukutana siyo mbaya.

Inasemekana Mo alisaidia mpunga wa matibabu ya Lissu kisirisiri kwa hiyo may be familia ya Dewji wana mengi ya kuongea na mwanasingida mwenzao.
 
Dewji sahivi ni Msemaji Mkuu wa Serikali?
 

Safi sana kuona wanyaturu wawili wakikutana, na kuwa siasa haziwezi kuwatenganisha ndugu hawa wawili


View: https://m.youtube.com/watch?v=q1nueVSLxgA
 
Huyu jamaa si ndio alitoa ushauri wake kwa chadema kuhusu maandamano au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…