Swali lako ni gumu sana kulijibu sisi...Natamani kufahamu ni kipi kilizuia kuonana naye hadi iwe msibani kwa Pro. Sarungu?
kwenye yas yakoWapi machozi yanamtoka?
Usisahau na yule kichaa mwingine mtumwaji Daudi Albert Bashite.Kweli Pombe alikuwa noma sana!
Nami nilitaka kuulizaProfessor anachizika nini mbona kama ana Saa mbili?
Aisee! Kweli unaona. Unajua kuangalia kwa umakini. Baada ya wewe ku_mention ndio na mimi imenibidi kuangalia tena.Dr. Mpoki, salt of the earth.
Jamaa ana saa mbili au hiyo nyingine ni some health tracking device?
When I first got my Fitbit, I was like, am I supposed to give up my regular watches now? πππ
Moja itakuwa ni smart watch mult purpose.Professor anachizika nini mbona kama ana Saa mbili?
Makazia.Mungu ambariki Dr. Mpoki
Tundu Lissu shati linambana akikaa, inaonekana tangu alivyolinunua amenenepa sana.Aisee! Kweli unaona. Unajua kuangalia kwa umakini. Baada ya wewe ku_mention ndio na mimi imenibidi kuangalia tena.
Ebwana hii ni kweli piaTundu Lissu shati linambana akikaa, inaonekana tangu alivyolinunua amenenepa sana.
Angalia vifungo vya chini hapo vinataka kukatika πππ