Tundu Lissu akutana na Dr Mpoki aliyeogonza jopo la madaktari Dodoma Hospital kuokoa maisha yake 2017; Dr Mpoki amwaga chozi kumuona jamaa anadunda.

Tundu Lissu akutana na Dr Mpoki aliyeogonza jopo la madaktari Dodoma Hospital kuokoa maisha yake 2017; Dr Mpoki amwaga chozi kumuona jamaa anadunda.

Natamani kufahamu ni kipi kilizuia kuonana naye hadi iwe msibani kwa Prof. Sarungi?

Kwa akili za kawaida lazima Lissu awe amewahi kufanya maombi ya kuonana naye kumpa shukrani, ni kipi kilikwamisha?
 
Natamani kufahamu ni kipi kilizuia kuonana naye hadi iwe msibani kwa Pro. Sarungu?
Swali lako ni gumu sana kulijibu sisi...

Lakini, tujaribu kufikiri kwa uhalisia wa mambo, kwamba hivi ni watu wangapi walishiriki kutia mikono yao kwa pesa, damu, maombi kuokoa uhai wa mtu huyu...?

Inawezekana kumtafuta na kumtembelea mmoja mmoja ili kumshukuru...?

Probably pale ndio tu wanaonana physically. Who konws kwamba inawezekana walishapigiana simu au njia nyingine yoyote kabla..?

Huyu mtu hata hapo Dodoma alipelekwa akiwa mahututi, hajitambui. Haina shaka kuwa pengine ameambiwa tu kuwa Dr Mpoki ni mmoja wa madaktari waliookoa uhai wako...

Vipi kule Nairobi Kenya? Na vipi kule Ubelgiji na duniani kwa ujumla..?

Na kwa kumbukumbu zangu, Tundu Lissu in several occasions ameshatoa shukrani zake kwa kila aliyesaidia kihali na kimali ktk kipindi hicho kigumu kwa njia ya TV au social medias...
 
Dr. Mpoki, salt of the earth.

Jamaa ana saa mbili au hiyo nyingine ni some health tracking device?

When I first got my Fitbit, I was like, am I supposed to give up my regular watches now? 😂😂😂
Aisee! Kweli unaona. Unajua kuangalia kwa umakini. Baada ya wewe ku_mention ndio na mimi imenibidi kuangalia tena.
 
Aisee! Kweli unaona. Unajua kuangalia kwa umakini. Baada ya wewe ku_mention ndio na mimi imenibidi kuangalia tena.
Tundu Lissu shati linambana akikaa, inaonekana tangu alivyolinunua amenenepa sana.

Angalia vifungo vya chini hapo vinataka kukatika 😂😂😂
 
Tundu Lissu shati linambana akikaa, inaonekana tangu alivyolinunua amenenepa sana.

Angalia vifungo vya chini hapo vinataka kukatika 😂😂😂
Ebwana hii ni kweli pia
 
Back
Top Bottom