Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema pamoja na jopo lake wakiwemo Makamu Mwenyekiti John Heche na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema, wamekutana na kufanya mazungumzo na Raila Odinga Jijini Nairobi.
Pamoja na kwamba muda ni Mchache na mambo ni mengi, lakini kwa Chadema wiki moja ni kama miaka mitano.
Endelea kubaki hapa hapa JF ili kufahamu kilichojadiliwa ikiwemo mada ya Dunia ya No Reform No Election.