PreGE2025 Tundu Lissu akutana na Raila Odinga Jijini Nairobi na kufanya naye Mazungumzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
sidhani kama Raila atasaidia lolote!
22 March 2025
Nairobi, Kenya

Raila Odinga meets Tanzania opposition leaders in Nairobi​

View: https://m.youtube.com/watch?v=KVe4A1eAZuA
Kenyan opposition leader Raila Odinga met with visiting Tanzanian opposition leaders in Nairobi, where they discussed strengthening democracy across Africa.

The leaders exchanged views on the role of political parties—both in and out of government—in contributing to national development.

Hon. Odinga emphasized the importance of dialogue and constructive engagement between opposition parties and the government, urging Tanzanian leaders to prioritize these approaches for the benefit of their nation and the preservation of democracy.......
 
Huku ombaomba wa Tone Tone wametinga misuti ya milioni nyingi kila mmoja. Hawana huruma na wanachama wao. Wanafuja michango ya wanachama wao, huku wakiwazuia kutimiza haki yao ya kuchaguliwa. Tabia za dikteta Lissu.
Ushahidi Katika Hayo Usemayo
 
Huku ombaomba wa Tone Tone wametinga misuti ya milioni nyingi kila mmoja. Hawana huruma na wanachama wao. Wanafuja michango ya wanachama wao, huku wakiwazuia kutimiza haki yao ya kuchaguliwa. Tabia za dikteta Lissu.
Bibi chura kiziwi wa kizimkazi ni dikiteta mkubwa aliyejiteua kuwa rais.
Hakuna aliyempigia kura ya urais ukweli wa wazi.Job Ndugai alisema ukweli wa nchi inauzwa na mtembeza bakuli la kopakopa, dikiteta akamwangamiza..
 
sidhani kama Raila atasaidia lolote!
Nogwa yako inafahamika, ila Mbowe alishindwa kihalali. Kama ulitarajia atafia kwenye hicho kiti, basi kamtafutie taasisi nyingine afie akiwa mwenyekiti lakini sio cdm.
 
Odinga ni muumini wa Shake hands yani Maridhiano. Amemshauri dikteta Lissu kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025, mazingira ya siasa ya awamu ya sita ni rafiki kwa upinzani kukua.
Wale walioenguliwa na kuuawa wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa ilikuwa awamu ya ngapi?
 
22 March 2025
Nairobi, Kenya

Raila Odinga meets Tanzania opposition leaders in Nairobi​

View: https://m.youtube.com/watch?v=KVe4A1eAZuA
Kenyan opposition leader Raila Odinga met with visiting Tanzanian opposition leaders in Nairobi, where they discussed strengthening democracy across Africa.

The leaders exchanged views on the role of political parties—both in and out of government—in contributing to national development.

Hon. Odinga emphasized the importance of dialogue and constructive engagement between opposition parties and the government, urging Tanzanian leaders to prioritize these approaches for the benefit of their nation and the preservation of democracy.......

Hizi show off hazina msaada wowote, ni ujinga wa roporopo Lisu! Raila sidhani kama ataleta tume huru au ana msaada wa kuleta tume huru!
I love chadema lkn kwa style hii , showoffs , sidhani kama kuna lolote will be achieved!
 
Odinga ni muumini wa Shake hands yani Maridhiano. Amemshauri dikteta Lissu kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025, mazingira ya siasa ya awamu ya sita ni rafiki kwa upinzani kukua.
Laila alikuwa anashinda kama mwaka 2007 alimshinda Raisi Mwai Kibaki.Lakini Mwai Kibaki aliapishwa tena usiku akiwa na Martha Karua aliyekuwa waziri wa sheria.
Wananchi walipinga ujanja huo kiini macho.
Si hiyo tu yasemekana alimshinda vile vile Uhuru Kenyata, na hata William Ruto lakini hatangazwi.
LAKINI ni mwepesi wa kusamehe,is too soft to lead a state na hata African Union juzi juzi wamempiga chini,so sad.
Lissu sio wa kwanza kutafuta ushauri toka kwa Laila.Hata binti yake Magufuli Jesica alitinga kwake kutafuta ushauri.
 
Odinga ni loser. Chochote kinachoweza kusemekana ni uvumi. Odinga anaamini kwenye maridhiano. Alifanya maridhiano na Kibaki, Uhuru, na sasa Ruto. Kila anaeamini uongo wa kwamba Odinga ameshinda chaguzi zote alizoshiriki lakini kaporwa ushindi ni masochist. Anapaswa kupatiwa matibabu.

Lissu awache udikteta, aruhusu wanachama wake kutumia haki yao ya kikatiba ya kuchaguliwa. Dikteta Lissu anasema atazuia uchaguzi usifanyike (uwezo huo hana), Odinga ameshiriki chaguzi zote licha ya kushindwa vibaya sana.

Jesca anadumisha urafiki wa Odinga na JPM. Odinga ni family friend wa familia ya JPM. Jesca hakwenda kama mwanasiasa, kaenda kama mwanafamilia.
 
Back
Top Bottom