Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hakika!CHADEMA chama kikuu katika kanda ya nchi za Afrika Mashariki, Maziwa Makuu na Kusini mwa Afrika
Shetani hajawahi kumshinda MunguNaomba wakirudi tu wakamatwe airport wasweke ndani kwa miaka 78 😡
Wewe unajua siasaOdinga ana influence gani to our political situation?
Kwa Kenya Odinga huwa anabebwa na mrengo wa kikabila the rest hana jipya. Haya ni matumizi mabaya ya TONE TONE.
sidhani kama Raila atasaidia lolote!Odinga ana influence gani to our political situation?
Kwa Kenya Odinga huwa anabebwa na mrengo wa kikabila the rest hana jipya. Haya ni matumizi mabaya ya TONE TONE.
Anabebwa na ukabila gani? Mtu anashinda Nairobi, Mombasa, umasaini, kwa wasomali kule North, magharibi kule kwa waluhya.... hapo achia tu Nyanza kwa kabila lake. Hakuna mwanasiasa ambaye yupo diverse kuliko Odinga.Odinga ana influence gani to our political situation?
Kwa Kenya Odinga huwa anabebwa na mrengo wa kikabila the rest hana jipya. Haya ni matumizi mabaya ya TONE TONE.
Kwako Lissu hana zurisidhani kama Raila atasaidia lolote!
suti za tundu lisu na rais museven huwa wanashona kwa fundi moja ee gentleman?Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema pamoja na jopo lake wakiwemo Makamu Mwenyekiti John Heche na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema, wamekutana na kufanya mazungumzo na Raila Odinga Jijini Nairobi.
View attachment 3279649
Pamoja na kwamba muda ni Mchache na mambo ni mengi, lakini kwa Chadema wiki moja ni kama miaka mitano.
Endelea kubaki hapa hapa JF ili kufahamu kilichojadiliwa ikiwemo mada ya Dunia ya No Reform No Election.
Achekae mwisho hucheka kwa muda mrefu zaidi ( he who laughs last, laughs longer)!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema pamoja na jopo lake wakiwemo Makamu Mwenyekiti John Heche na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema, wamekutana na kufanya mazungumzo na Raila Odinga Jijini Nairobi.
View attachment 3279649
Pamoja na kwamba muda ni Mchache na mambo ni mengi, lakini kwa Chadema wiki moja ni kama miaka mitano.
Endelea kubaki hapa hapa JF ili kufahamu kilichojadiliwa ikiwemo mada ya Dunia ya No Reform No Election.
Safii amekutana na brother wake Magufuli huyo ana vinasaba vya kushindwa natumaini lissu ameshavibeba!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema pamoja na jopo lake wakiwemo Makamu Mwenyekiti John Heche na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema, wamekutana na kufanya mazungumzo na Raila Odinga Jijini Nairobi.
View attachment 3279649
Pamoja na kwamba muda ni Mchache na mambo ni mengi, lakini kwa Chadema wiki moja ni kama miaka mitano.
Endelea kubaki hapa hapa JF ili kufahamu kilichojadiliwa ikiwemo mada ya Dunia ya No Reform No Election.
Kila siku siyo JumapiliSafii amekutana na brother wake Magufuli huyo ana vinasaba vya kushindwa natumaini lissu ameshavibeba!
Huku ombaomba wa Tone Tone wametinga misuti ya milioni nyingi kila mmoja. Hawana huruma na wanachama wao. Wanafuja michango ya wanachama wao, huku wakiwazuia kutimiza haki yao ya kuchaguliwa. Tabia za dikteta Lissu.Odinga Katinga Zake Raba Na Kaunda Suti Hana Habari