22 March 2025sidhani kama Raila atasaidia lolote!
Kwisha ikulu ataisikia kwenye redio!Kila siku siyo Jumapili
Ushahidi Katika Hayo UsemayoHuku ombaomba wa Tone Tone wametinga misuti ya milioni nyingi kila mmoja. Hawana huruma na wanachama wao. Wanafuja michango ya wanachama wao, huku wakiwazuia kutimiza haki yao ya kuchaguliwa. Tabia za dikteta Lissu.
Bibi chura kiziwi wa kizimkazi ni dikiteta mkubwa aliyejiteua kuwa rais.Huku ombaomba wa Tone Tone wametinga misuti ya milioni nyingi kila mmoja. Hawana huruma na wanachama wao. Wanafuja michango ya wanachama wao, huku wakiwazuia kutimiza haki yao ya kuchaguliwa. Tabia za dikteta Lissu.
Nogwa yako inafahamika, ila Mbowe alishindwa kihalali. Kama ulitarajia atafia kwenye hicho kiti, basi kamtafutie taasisi nyingine afie akiwa mwenyekiti lakini sio cdm.sidhani kama Raila atasaidia lolote!
SawaNaomba wakirudi tu wakamatwe airport wasweke ndani kwa miaka 78 š”
Wale walioenguliwa na kuuawa wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa ilikuwa awamu ya ngapi?Odinga ni muumini wa Shake hands yani Maridhiano. Amemshauri dikteta Lissu kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025, mazingira ya siasa ya awamu ya sita ni rafiki kwa upinzani kukua.
Hizi show off hazina msaada wowote, ni ujinga wa roporopo Lisu! Raila sidhani kama ataleta tume huru au ana msaada wa kuleta tume huru!22 March 2025
Nairobi, Kenya
Raila Odinga meets Tanzania opposition leaders in Nairobi
View: https://m.youtube.com/watch?v=KVe4A1eAZuAKenyan opposition leader Raila Odinga met with visiting Tanzanian opposition leaders in Nairobi, where they discussed strengthening democracy across Africa.
The leaders exchanged views on the role of political partiesāboth in and out of governmentāin contributing to national development.
Hon. Odinga emphasized the importance of dialogue and constructive engagement between opposition parties and the government, urging Tanzanian leaders to prioritize these approaches for the benefit of their nation and the preservation of democracy.......
Laila alikuwa anashinda kama mwaka 2007 alimshinda Raisi Mwai Kibaki.Lakini Mwai Kibaki aliapishwa tena usiku akiwa na Martha Karua aliyekuwa waziri wa sheria.Odinga ni muumini wa Shake hands yani Maridhiano. Amemshauri dikteta Lissu kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025, mazingira ya siasa ya awamu ya sita ni rafiki kwa upinzani kukua.
Laila alikuwa anashinda kama mwaka 2007 alimshinda Raisi Mwai Kibaki.Lakini Mwai Kibaki aliapishwa tena usiku akiwa na Martha Karua aliyekuwa waziri wa sheria.
Wananchi walipinga ujanja huo kiini macho.
Si hiyo tu yasemekana alimshinda vile vile Uhuru Kenyata, na hata William Ruto lakini hatangazwi.
LAKINI ni mwepesi wa kusamehe,is too soft to lead a state na hata African Union juzi juzi wamempiga chini,so sad.
Lissu sio wa kwanza kutafuta ushauri toka kwa Laila.Hata binti yake Magufuli Jesica alitinga kwake kutafuta ushauri.
Odinga ni loser. Chochote kinachoweza kusemekana ni uvumi. Odinga anaamini kwenye maridhiano. Alifanya maridhiano na Kibaki, Uhuru, na sasa Ruto. Kila anaeamini uongo wa kwamba Odinga ameshinda chaguzi zote alizoshiriki lakini kaporwa ushindi ni masochist. Anapaswa kupatiwa matibabu.Laila alikuwa anashinda kama mwaka 2007 alimshinda Raisi Mwai Kibaki.Lakini Mwai Kibaki aliapishwa tena usiku akiwa na Martha Karua aliyekuwa waziri wa sheria.
Wananchi walipinga ujanja huo kiini macho.
Si hiyo tu yasemekana alimshinda vile vile Uhuru Kenyata, na hata William Ruto lakini hatangazwi.
LAKINI ni mwepesi wa kusamehe,is too soft to lead a state na hata African Union juzi juzi wamempiga chini,so sad.
Lissu sio wa kwanza kutafuta ushauri toka kwa Laila.Hata binti yake Magufuli Jesica alitinga kwake kutafuta ushauri.
Wapaka mavi hamkosekaniOdinga ana influence gani to our political situation?
Kwa Kenya Odinga huwa anabebwa na mrengo wa kikabila the rest hana jipya. Haya ni matumizi mabaya ya TONE TONE.