PreGE2025 Tundu Lissu alalamika kunyimwa haki ya kuabudu gerezani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Akileta chokochoko rungu hilo hapo.

Anapigwa la mgongoni.

View attachment 3371279
Kuna mambo watu wanafanya unajiuliza kama wako sawa vichwani mwao! Haya maigizo yote ya jeshi la magereza kumbrand Lissu kama mtu hatari,! Yanapishana na uhalisia ambao dunia unauona akiwa leo kizimbani leo na yote aliyoyasema na jinsi sheria za usimamizi wa magereza unavokiukwa na jeshi hilo. Lissu sio mhaini kila mtu anajua na kusema #NoReformsNoElection si kosa ni mawazo huru ya watanzania!
 
Mbona huku uraiani hatujawahi kumuona katika kanisa lolote?

Anyway, deconstruction imefanikiwa, jeuri inaisha, in two months atakuwa kama uji wa mchele
in your dreamz

ogopa mtu ambaye yupo tayari kunyongwa hadi kufa

matokeo yake huyo anayetaka kunyonga mwenzake, yeye sasa ndiye anaogope hata picha za mtuhumiwa kupigwa akipelekwa kwenye mahakama yake ya maigizo
 
Mbona huku uraiani hatujawahi kumuona katika kanisa lolote?

Anyway, deconstruction imefanikiwa, jeuri inaisha, in two months atakuwa kama uji wa mchele
Ibada ya mtu binafsi kwako ni maonyesho?
Huku ndiko mlikolifikisha taifa hili, kwa unafiki wa udini kujionyesha ni wacha Mungu kumbe ni mashetani wakubwa!
"... deconstruction..." hata haieleweki unachokizungumzia hapa. Unatumia kipimo kipi cha kujua ukubwa au udogo wa "jeuri"?
 
mbona wakati alikua bado si muhalifu alikua haendi hata huko pakuabudu? mnyika tu ndio hupiga novena mbaya sana pale msimbazi?
huo utakatifu ameunza lini?
kitima na Adv.bob Robert Armstadam watamdanganya mambo mengi sana huyo mtuhumiwa dah

ama kwahika,
kujua umuhimu wa haki ni sharti uikose kwanza
 
Mbona huku uraiani hatujawahi kumuona katika kanisa lolote?

Anyway, deconstruction imefanikiwa, jeuri inaisha, in two months atakuwa kama uji wa mchele
Wewe no mpumbavu sana ZEZETA sana
 
Ukiwa uraiani hauabudu ukiwekwa nyuma ya bar's ndo unakumbuka ibada, wakazie hapohapo hamna kufanya ibada yoyote.
Umekuwa na mamlaka ya kupangia watu ni wakati gani "waabudu", na lini wasiabudu!
 
Hivi mashoga huwa wanaabudu nini??!!
 
Mbona huku uraiani hatujawahi kumuona katika kanisa lolote?

Anyway, deconstruction imefanikiwa, jeuri inaisha, in two months atakuwa kama uji wa mchele
Ulitaka awe anaonekana kwenye tv kama yule wa chato? ili ujue ameenda kusali
 
Ulitaka awe anaonekana kwenye tv kama yule wa chato? ili ujue ameenda kusali
Kwanza anayo dini kweli huyo mtoa matusi bila hata adabu ya umri kwa mama ambaye achilia mbali kuwa ni mh Rais, lakini ana hadhi ya kuitwa mama, ila siyo kama anavyo mu address, ananiudhi sana huyu kichaa Lissu!!
 
Mbona huku uraiani hatujawahi kumuona katika kanisa lolote?

Anyway, deconstruction imefanikiwa, jeuri inaisha, in two months atakuwa kama uji wa mchele
chiembe achaga kuandika kikenge
 
Mbona huku uraiani hatujawahi kumuona katika kanisa lolote?

Anyway, deconstruction imefanikiwa, jeuri inaisha, in two months atakuwa kama uji wa mchele
chiembe achaga kuandika kikenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…