Tundu Lissu alianza kupigania haki siku nyingi, aliwahi kumtetea mzee Nyaswi wa Nyamongo

Huyu ndio mtetezi wa wanyonge kweli,sio bwana moja anaebomoa nyumba za wananchi wake sijui wakaishi wapi
 
..nakumbuka mwaka 1997 jinsi Tundu Lissu alivyowatetea wavuvi wadogo-wadogo wa RUFIJI DELTA ambao lao lilikuwa ligawiwe kwa muwekezaji toka nje.

..haikuwa jambo la kawaida ktk miaka ile kwa mtu yeyote yule, sembuse kijana mdogo chini ya miaka 30, kutetea maslahi ya wananchi dhidi ya maamuzi ya serikali.
 
Watanzania eti hawamtaki mtu anayewatetea, wapo tayari kunyanyaswa Hadi kufa
 
mtoa hoja, kwa hiyo huyu wa kwetu hana hata moja aliyotetea miaka hiyo!! aaahh acheni izo bana... mwenye data tafadhali..
 
Alikuwa anafanya kazi yake ya uwakili- hakuna jipya hapo- ILA PIA- ALIWAHI KUMTUKANA BABA WA TAIFA
 
Alikuwa anafanya kazi yake ya uwakili- hakuna jipya hapo- ILA PIA- ALIWAHI KUMTUKANA BABA WA TAIFA
Pamoja na kufanya kazi yake ya uwakili, hakumdai huyu mzee pesa yeyote. Hilo la kumtukana baba wa Taifa kama ni kweli lisiwaumize watoto wake waliomkaribisha also a na kaburi la baba yao likuumize wewe!
 
Lissu ni mashine. Si mtu wa kawaida huyu. Bwana yule asiyejua kiingereza hata press conference za kiswahili hajawahi na hawezi kufanya.
 
Pamoja na kufanya kazi yake ya uwakili, hakumdai huyu mzee pesa yeyote. Hilo la kumtukana baba wa Taifa kama ni kweli lisiwaumize watoto wake waliomkaribisha also a na kaburi la baba yao likuumize wewe!
Sasa huyo Mkurya ndoa aliezaa na nani yako mpaka umfanye iwe issue ya uchaguzi? Huyo siyo baba yao ni baba wa taifa hata hilo kaburi lilijengwa na taifa- after all Lissu hakulala kwa Mwalimu bali alilala mwitongo Guest House- hapo alienda tu kama sisi tunavyo fanya siku zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…