Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Mtu yeyote makini aweza kutambua kwamba kuwa ccm ni lazima uwe na mtindio wa ubongo by default, kama prof mzima anaweza maneno kama ya mtoto wa darasa la pili unadhani hapo shida ni nini kama sio mtindio wa ubongo ??!!Unaongea kutokana na uzoefu wako!
Wewe uliwahi kuwa mwanaCCM ukawa na huo mtindio wa ubongo by default?
Inashangaza zaidi unapoanza kuchangia hoja za mtu mwenye mtindio wa ubongo!
Kwa kuwa sijui umri wako nashindwa kukueleza maendeleo ya Tanzania kabla ya vyama vingi vya siasa. Itoshe kukwambia kuwa maendeleo hayo yamevurugwa na kuwepo kwa utitiri wa vyama vingi vya siasa si kwa sababu ya itakadi tofauti ila aina ya viongozi wake kuwa wapinga maendeleo.Kabla ya vyama vingi tulikuwa na chama kimoja kwa miaka 30, Tulipata maendeleo gani?
Uliuwa na umri gani wakati Mwalimu anang'atuka mwaka 1985, unaijua hali tuliyojuwa nayo kama nchi wakati huo?
Mabeberu wakitaka kuing'oa hiyo CCM yako haiwezi kulast hata wiki moja, wao ndo waliipa TANU serikali na wao wakitaka wanaweza kuijengea mazingira CCM ikang'oka!
Ndiyo maana Jiwe anatuvimbia sisi wananchi lakini Mzungu akikohoa tu chapcha tu anarufi msitarini. Wewe unafikiri bila mzungu kuingilia kati huyo Lissu angeachiwa aondoke?
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.
Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.
Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.
Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.
Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.
Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70.
Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!
Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!
''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!
Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuzwe!
Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.
Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!
Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!
Kinachofurahisha zaidi, ameamua kukimbia bila kuwaeleza makamanda ''maandazi'' kama amesitisha maandamano au bado yapo palepale!
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa
WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake Uongozi...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!
TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE. Na, Robert Heriel. Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha yanabadilika. Hivyo hata siasa haina mazoea, siasa zinabadilika, dakika moja inatosha kabisa...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020
Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake...www.jamiiforums.com
Unaonekana una matatizo ya akili, so unaamini ule ulikuwa uchaguzi?Unaongea kutokana na uzoefu wako!

Mnatengeneza video za uongo ili kudanganya watu kulikuwa na wizi wa kura!
Mpelekeni mbwatukaji wenu na poyoyo wake Salum Mwalimu mirembe kwanza. Kisha afuate DJ."Anayeamini kwamba tar 27 na 28 kulikuwa na uchaguzi inabidi apelekwe mirembe" - Mbowe
Mtapata shida sana, yaani mlikuwa mnalipwa kwa kufagia sasa mwenye nyumba kaweka Pavement kazi imeishaCHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.
Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.
Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.
Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.
Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.
Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70.
Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!
Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!
''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!
Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuzwe!
Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.
Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!
Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!
Kinachofurahisha zaidi, ameamua kukimbia bila kuwaeleza makamanda ''maandazi'' kama amesitisha maandamano au bado yapo palepale!
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa
WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake Uongozi...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!
TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE. Na, Robert Heriel. Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha yanabadilika. Hivyo hata siasa haina mazoea, siasa zinabadilika, dakika moja inatosha kabisa...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020
Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake...www.jamiiforums.com
Njaa hawakujua wanalipwa kwa ajili ya wapinzaniMimi nawashangaa sana CCM. Wapinzani mmeshawamaliza hivi mnahangaika nao wa nini tena.? Tumewaacha muongoze mpaka mtakapo choka. Lakin bado tu mnawafuatilia wapinzani mnawataka wa nn ?
Kwa sababu ya uharibifu mkubwa ajabu wa uchaguzi uliofanywa na dola kwa niaba ya CCM!.
Uchaguzi uliopita ni Uhaini dhidi ya Jamhuri ya Muungano na Watu wake!
Nilisha wahi kuandika mahali ikifika mwezi wa kumi ndio mwisho wa chadema na imetokea.
Jamaa alipotoka Belgium alikuja na mbwembwe nyingi sana nataka maandamano ya kunipokea, nataka nikija Dar isimame na nyingine nyingi.
Ila jana alipokuwa anaondoka hakuwa na tofauti na paka alienyeshewa.
1. Ameagwa na watu wasio zidi kumi
2. Amesindikizwa na Mabeberu.
3. Hata kuwaaga waliompokea kashindwa
Sasa sijuii akirudi tena atakuwa mgeni wa nani. Kwanza amekumbuka kulipa pango la nyumba aliyokuwa anakaa??
Kwanini mlishiriki uchaguzi wakati mnajua Tume ni ile ile ya Uchaguzi mlioisusia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa? Hamkujua kuwa mtaibiwa au kuonewa?Cdm itakufa kwa hizi chaguzi za kihayawani. Ni kweli inaweza isipate mbunge ama diwani kwa maagizo ya dola, ila sio kwa kura za wananchi.
Kumbe kulikuwa na nini mkuuHivi mwaka huu kumbe kulikua na uchaguzi?
Wakimbizi wanaokimbia marejesho ya mikopo ya mabenki na wafanya biashara ndo unaowazungumzia mkuuAliingia madarakani nchi ikiwa na demokrasia ya kuridhisha, hivi sasa anapanga matokeo yawe vipi akiwa ikulu. Hakukuwa na wakimbizi wa kisiasa, ila sasa hivi wapo. Nchi aliikuta ikiwa na mijadala na midahalo, sasa hivi kawageuza wananchi makondoo wa kuhutubiwa na kushurutishwa kutawaliwa. Alikuta nchi ina deni la chini ya 40t kutokana na marais wote wanne, sasa ni zaidi ya 56t ndani ya miaka mitano! Yale makundi ya watu wasiojulikana yaliyokuwa tunayasikia huko Rwanda, sasa hivi ndio yanatamba hapa kwetu. Data nyingi huko nyuma zilikuwa ni za kweli kwa kiwango cha kuridhisha, ila sasa hivi upishi wa data ili kuhadaa wananchi ndio fashion. Samahani kama niko nje ya mada.
Na Yale maonyo ya Kusema, OLE wake aibiwe Kura ilikuwa ni mkwara siyo?Mleta mada ungekuwa na akili timamu ningekushauri kitu. Ila elewa kuwa;
Uchaguzi ungekuwa huru kwa kuheshimu kura za wapiga kura CDM ingekuwa na wabunge zaidi ya 60.
Kura za Lissu 'zingepindua meza', amini maneno yangu.