paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Haikatazwi, Ila si mwenendo na Sera za Chama cha watoto Chadema!Kuna usemi unasema 'Mwosha naye huoshwa!'.....Nina amini kabisa kuwa ipo siku CCM pia itafutwa na kufutika ghafla hivihivi, tena itakuwa ni zaidi ya ilivyofanya kwa vyama vya upinzani!
Bora wameshiriki na matatizo ya kikatiba yanayowakabili wapinzani yamebainika na kujlikana na ulimwengu wote! Tujiulize je wasingeshiriki uchaguzi ule wizi wa kura uliobainishwa ungejulikana vipi??Kwanini mlishiriki uchaguzi wakati mnajua Tume ni ile ile ya Uchaguzi mlioisusia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa? Hamkujua kuwa mtaibiwa au kuonewa?
Bunge linapaswa kuwa la kuchaguliwa na wananchi!Sasa wanapokuwa karibu wote ni viti maalum inapoteza dhana nzima ya uwakilishi!Kwani viti maalum sio ubunge?
wakina Ponda na Bagonza kama viongozi wa dini wameshindwa kabisa kipewa maono na Mungu kujua nia mbaya ya Lissu kitumiwa na mabeberu.Jamaa hata mwezi haujaisha baada ya uchaguzi ameamua kuwakimbia makamanda ''maandazi''!
Mmetumwa haondoki mtu..poleni sanaaCHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.
Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.
Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.
Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.
Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.
Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70.
Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!
Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!
''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!
Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuzwe!
Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.
Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!
Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!
Kinachofurahisha zaidi, ameamua kukimbia bila kuwaeleza makamanda ''maandazi'' kama amesitisha maandamano au bado yapo palepale!
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa
WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake Uongozi...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!
TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE. Na, Robert Heriel. Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha yanabadilika. Hivyo hata siasa haina mazoea, siasa zinabadilika, dakika moja inatosha kabisa...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020
Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake...www.jamiiforums.com
Kwani mliposusia Uchaguzi wa Serikali za mitaa mlipata faida ipi au hasara ipi? Kwani ACT NA CHADEMA mkisusia Uchaguzi ni lazima vyama vingine visusie? Kama vyama vyenu vinaona havitendewi haki kaeni pembeniBora wameshiriki na matatizo ya kikatiba yanayowakabili wapinzani yamebainika na kujlikana na ulimwengu wote! Tujiulize je wasingeshiriki uchaguzi ule wizi wa kura uliobainishwa ungejulikana vipi??
Zaidi ya yote unapokuja na hoja kama hiyo ni lazima ukumbuke kuwa Tanzania kuna vyama vya siasa vingine ni vibaraka wa chama tawala, na ubaya zaidi ni vingi kwa idadi , vipo zaidi ya 9!
Sasa ukisema CHADEMA, ACT wazalendo wasishiriki uchaguzi alafu hivyo vikashiri, itahesabika uchaguzi ulihusisha vyama vya upinzani, na riport zitatolewa na kusema ulikuwa huru na wa haki! Je faida ya kutoshiriki ni ipi? Je imekula kwa nani kama sio kwa waliosusa??
Mkuu hakuna namna yoyote ya kuhalalisha wenye fikira tegemezi kuwa wanastahili kuwa Asylum seekers!! Hao wanaona aibu na wanatafuta sababu za kuhalalisha unyonyaji wa kodi za wananchi wa nchi zinazo wahifadhi. Na hiyo wanafanya dhuluma na kupora haki ya wananchi wa nchi hizo kufaidi haki ya matumizi halala ya kodi zao. Lissu na wenzake waone aibu katika hili!!!Aliingia madarakani nchi ikiwa na demokrasia ya kuridhisha, hivi sasa anapanga matokeo yawe vipi akiwa ikulu. Hakukuwa na wakimbizi wa kisiasa, ila sasa hivi wapo. Nchi aliikuta ikiwa na mijadala na midahalo, sasa hivi kawageuza wananchi makondoo wa kuhutubiwa na kushurutishwa kutawaliwa. Alikuta nchi ina deni la chini ya 40t kutokana na marais wote wanne, sasa ni zaidi ya 56t ndani ya miaka mitano! Yale makundi ya watu wasiojulikana yaliyokuwa tunayasikia huko Rwanda, sasa hivi ndio yanatamba hapa kwetu. Data nyingi huko nyuma zilikuwa ni za kweli kwa kiwango cha kuridhisha, ila sasa hivi upishi wa data ili kuhadaa wananchi ndio fashion. Samahani kama niko nje ya mada.
Wakimbizi wanaokimbia marejesho ya mikopo ya mabenki na wafanya biashara ndo unaowazungumzia mkuu
Uliandamana?Kwa sababu ya uharibifu mkubwa ajabu wa uchaguzi uliofanywa na dola kwa niaba ya CCM!.
Uchaguzi uliopita ni Uhaini dhidi ya Jamhuri ya Muungano na Watu wake!
walikuja na kamsemo kao eti "Ni yeye'CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.
Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.
Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.
Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.
Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.
Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70.
Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!
Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!
''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!
Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuzwe!
Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.
Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!
Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!
Kinachofurahisha zaidi, ameamua kukimbia bila kuwaeleza makamanda ''maandazi'' kama amesitisha maandamano au bado yapo palepale!
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa
WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake Uongozi...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!
TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE. Na, Robert Heriel. Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha yanabadilika. Hivyo hata siasa haina mazoea, siasa zinabadilika, dakika moja inatosha kabisa...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020
Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake...www.jamiiforums.com
😂 Kila utakapotaka kuwa na wazo la kutaka kuniandika Kwa maneno ya kunikejeli, hutaandika vizuri mkuu,Embu cheki ulichokiandika sasa!Ndio ukichokaririshwa kisha unakitumia kujenga hoja na wanaume?
Ulibadiri lini jinsia Hadi ukawa mwanaume wewe! Chonde,tusifike huko unakotaka wewe mkuuNdio ukichokaririshwa kisha unakitumia kujenga hoja na wanaume?
Mleta mada ungekuwa na akili timamu ningekushauri kitu. Ila elewa kuwa;
Uchaguzi ungekuwa huru kwa kuheshimu kura za wapiga kura CDM ingekuwa na wabunge zaidi ya 60.
Kura za Lissu 'zingepindua meza', amini maneno yangu.
Zile mbwembwe na kejeli walizokua wanatoa, unataka waachwe hivi hivi kwanni? Lazima waambiwe ukweli.Mimi nawashangaa sana CCM. Wapinzani mmeshawamaliza hivi mnahangaika nao wa nini tena.? Tumewaacha muongoze mpaka mtakapo choka. Lakin bado tu mnawafuatilia wapinzani mnawataka wa nn ?
Ulitakaje labda?
Mkuu hakuna namna yoyote ya kuhalalisha wenye fikira tegemezi kuwa wanastahili kuwa Asylum seekers!! Hao wanaona aibu na wanatafuta sababu za kuhalalisha unyonyaji wa kodi za wananchi wa nchi zinazo wahifadhi. Na hiyo wanafanya dhuluma na kupora haki ya wananchi wa nchi hizo kufaidi haki ya matumizi halala ya kodi zao. Lissu na wenzake waone aibu katika hili!!!
Ninyi si mnasema hakuna jambo la kuzuia raia zaidi ya milioni 40 kudai haki yao hata litumike jeshi la aina gani! Mimi pia nakubaliana na ninyi kwenye hilo. Sasa kama kweli ongozeko la deni la taifa kwa muda mfupi lingekuwa la kutilia mashaka na hakuna haki imetendeka....unadhani serikali ya awamu ya tano ya nchi yetu ingehimili nguvu ya umma ya watu milioni zaidi ya arobaini kupinga ongozeko hilo kama kunge kuwa na mangumashi? Ukweli watanzania wanaona ela zinaelekea wapi na matunda wanayaona! Na hiki ndicho kisa cha matokeo ya uchaguzi ya mwaka huu. Unata hivyo hivyo hutaki hivyo!
Mkuu, wewe ni mmoja ya wale ambao hawakuathiriwa sana na tabia za Antipasu za uongo . Mara kadhaa umeonyesha objectivity kwenye kutoa maoni. Sasa umekwama wapi kiasi cha kutotambua kabla haya niliyoeleza hapo juu!? Mkuu ebu weka mambo sawa usiniangushe.
Mngesusia Kama ambavyo mlisusia Uchaguzi wa Serikali za mitaa sababu mlisha doubt kuwa mtaibiwa