Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Bungeni kuna viti maalumu tu!Sauti ipi hiyo unayosema wakati kuna watanzania wako bungeni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bungeni kuna viti maalumu tu!Sauti ipi hiyo unayosema wakati kuna watanzania wako bungeni!
Sasa aliekuwa akinengua viuno huku akiimba ni yeye alikuwa nani?Hivi mwaka huu kumbe kulikua na uchaguzi?
Hapa waswahili wanasema umegonga kunako...CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.
Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.
Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.
Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.
Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.
Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70.
Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!
Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!
''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!
Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuzwe!
Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.
Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!
Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!
TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE. Na, Robert Heriel. Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha yanabadilika. Hivyo hata siasa haina mazoea, siasa zinabadilika, dakika moja inatosha kabisa...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020
Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake...www.jamiiforums.com
Taarifa za awali zilisema ana tiketi ya ndege ya tarehe za mwezi Desemba, ghafla kapata ya mwezi November! Salary Slip anajuta kumfahamu Antipasu. Alivyomtosa ezi za MIGA na acacia somo hakulielewa...kwa sasa atakuwa amemuelewa Antipasu vinginevyo awe amekodi IQ yake kwa muda huu.Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!
Mkuu Missile of the Nation, alichoandika Msemaji Kweli ni hitimisho la kile nilichokuwa naamini na kukisitiza humu JF kuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza la upinzani Lissu amepigilia.Kwa sababu ya uharibifu mkubwa ajabu wa uchaguzi uliofanywa na dola kwa niaba ya CCM!.
Uchaguzi uliopita ni Uhaini dhidi ya Jamhuri ya Muungano na Watu wake!
Watu wanaelezea namna hali ya siasa ilivyo hapa nchini. CHADEMA kwishney.Nione mnavyoteseka na chadema
Nyie hamkuutaka?Kelele za nini tena? Mlitaka Urais, mmeupata, bunge mnalo, halmashauri zote mnazo, sasa unafiki wa nini?
Wapinzani wamejimaliza wenyeweMimi nawashangaa sana CCM. Wapinzani mmeshawamaliza hivi mnahangaika nao wa nini tena.? Tumewaacha muongoze mpaka mtakapo choka. Lakin bado tu mnawafuatilia wapinzani mnawataka wa nn ?
Waambie japo hawatokuelewaVyama vya msimu hivi ndio matatizo yake...
Kumbuka maneno ''huumba''!Nilisema mimi humu kwamba katika wagombea watatia aibu ni Lisu tangu chadema ianze kushiriki chaguzi
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.
Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.
Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.
Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.
Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.
Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70.
Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!
Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!
''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!
Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuzwe!
Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.
Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!
Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!
TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE. Na, Robert Heriel. Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha yanabadilika. Hivyo hata siasa haina mazoea, siasa zinabadilika, dakika moja inatosha kabisa...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020
Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake...www.jamiiforums.com
Chagua jibu lolote katika maswali yako lakini ukweli uko palepale!Kwani tulifanya Uchaguzi ama Uteuzi?
Ingekwishney ungeacha kuindika kama ambavyo hauandiki habari za nccrWatu wanaelezea namna hali ya siasa ilivyo hapa nchini. Chadema kwishney.
Mkuu;Nasubiri uzi mwingine wa kuhusu chadema
Nilisema mimi humu kwamba katika wagombea watatia aibu ni Lisu tangu chadema ianze kushiriki chaguzi
Tupia na uzi wa ADCMkuu;
Wewe subiri kama hutachoka!
Hiki ni kijiwe cha kuelimishana na kupashana habari!
Kwa unataka kusema ipo hai kama NCCR mageuzi?Ingekwishney ungeacha kuindika kama ambavyo hauandiki habari za nccr
ImekufaKwa unataka kusema ipo hai kama Nccr mageuzi?
Haya mambo kama yana ukweli yasiishie kwenye mitandao, mpaka sasa ni kupost Twitter na JF inatakiwa hatua stahiki zichukuliwe tuambiwe ilitokea nini hiyo tar 27/28 mpaka watu wakapigwa risasi.Kwa ule umwagaji wa damu na kura kwenye mabeg, nikisikia neno aibu nacheka kwa nguvu.
Yupi Bora?Je,ni aliyeahidi kuwaingiza wananchi barabarani ama anayetishia,kupiga ama kuua waandamanaji?Maandamano ni jinai kwa sheria za Tanzania? Je,kosa la kuandamana hukumu/adhabu yake ni kuuawa?CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.
Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.
Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.
Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.
Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.
Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70.
Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!
Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!
''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!
Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuzwe!
Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.
Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!
Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!
Kinachofurahisha zaidi, ameamua kukimbia bila kuwaeleza makamanda ''maandazi'' kama amesitisha maandamano au bado yapo palepale!
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa
WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake Uongozi...www.jamiiforums.com