F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
hawatapata hata sent mkuu, sisi wana CCM tumefurahi sana kwa kweli . maana walikuwa wanakwamisha sana MAENDELEO. Tuwaache wapinzani wajifie kwa NJAA sisi ni muda wetu sasa kuwaletea wananchi maendeleo. Tumechelewa sana miaka 50 ya Uhuru wapinzani wametukwamisha sana sasa hivi tungekuwa mbali sana kimaendeleo zaidi ya CaliforniaChadema wamekiua chama wao wenyewe sasa ruzuku sijui itakuwa shs ngapi?