Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.

Baada tu ya kuwaaminisha, kelele zikawa kila kwenye ofisi ya CHADEMA na makamanda ''maandazi'' NI YEYE, NI YEYE

Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.

Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.

Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.

Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.

Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70

Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!

Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!

''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!

Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuze!

Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.

Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!

Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!

Kinachofurahisha zaidi, ameamua kukimbia bila kuwaeleza makamanda ''maandazi'' kama amesitisha maandamano au bado yapo palepale!

LINK>>>
LINK>>>
LINK>>>
LINK>>>
Unaandika ujinga huu ili upate nini?
 
Asilimia 90 ya mashabiki wa upinzani hawakujua kuwa lissu ni makamu mwenyekiti wa chadema mpaka pale alipopigwa marufuku kufanya kampeni.

Upinzani kajipangeni tena, magufuli kawaoa mpaka 2025
 
Ukiitwa Kwenye mdaharo unajiny, akiondoka tu pere pereeeeee.
 
Heshma ya pekee kwa aliyekuwa katibu mkuu wangu Dr Slaa[emoji106][emoji122]
Yeye alikua mzalendo aliyealiyejua maana halisi ya demokrasia ya vyama vingi[emoji95]
Slaa ni ni miongoni mwa wanaume wachache tuliobaki na misimamo.

Vijana wa chadema walivyo wajinga wakaanza kumuita dr mihogo
 
Mzee na wao n binadam ana guilt complexity wanateseka na dhuruma ndo maana wanasaka mental mechanism
Mimi nawashangaa sana CCM. Wapinzani mmeshawamaliza hivi mnahangaika nao wa nini tena.? Tumewaacha muongoze mpaka mtakapo choka. Lakin bado tu mnawafuatilia wapinzani mnawa
 
Kwa utawala wa jpm hata yy angefeli tu

Dr Slaa alikua kiongozi aliyetamani kuleta maendeleo ndio maana alipoonda Magufuli analeta maendeleo aliamua kumuunga mkono kwa maslahi ya taifa...

Sera za kupinga maendeleo na kila kizuri kinachofanyika eti sababu tuu ya tofauti za kiitikadi hazijawahi saidia nchi
 
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.

Baada tu ya kuwaaminisha, kelele zikawa kila kwenye ofisi ya CHADEMA na makamanda ''maandazi'' NI YEYE, NI YEYE

Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.

Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.

Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.

Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.

Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70

Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!

Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!

''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!

Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuze!

Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.

Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!

Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!

Kinachofurahisha zaidi, ameamua kukimbia bila kuwaeleza makamanda ''maandazi'' kama amesitisha maandamano au bado yapo palepale!

LINK>>>
LINK>>>
LINK>>>
LINK>>>
Ukweli ni kwamba Tundu Lissu alikuwa ameipa Tz rais wa upinzani na wabunge zaida ya asilimia 50.
Sena tu like agizo LA kupora uchaguzi lililoratibiwa na usalama wa taifa/
Usalama wa ccm?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Lissu alikufanyia nini???
Yaani nimecheka[emoji38]
Huyu jamaa nilikuwa namchukulia serious na utaalam wake wa sheria kuliko yeyote duniani ila toka alivosimama hadharani akatusomea kilichoitwa "list of shame" na kumtaja mzee Lowasa kama mwizi na fisadi namba 06/09 kama sikosei halafu baadae anakuja kumpokea kwenye chama chake halafu anajaribu kujustfy huu uchafu kwa vifungu vya sheria njaa zake kuwa kama ni mwizi mbona hamna aliemshtaki mahakamani nilichoka.

Nikashindwa kuelewa wakati yeye anamtaja kwenye list ya wezi na mafisadi ali base kwenye hukumu gani ya mahakama! Thats why toka kipindi hicho jamaa namchukulia dalali tu. Anatofautiana na wenzake wa mtaani kwa kuwa utapeli wake anaweza kuunganishia vifungu vya sheria.

Ni bora wangekuwa wanatwambia kwamba tuko kwenye siasa kutafuta ugali na future ya wanetu ili tusichukulie serious kila wanachotwambia. Sio mtu anakwambia mfano Kinana ana run ring ya poachers halafu baadae anakwambia sorry kipindi kile sikuwa nimetafiti kwa undani, jamaa nilimsingizia. Baadae wewe uliemuamini huyu mzushi unajisikiaje?

How do u feel being deceived? Ndo maana nawachukuliaga poa sana hawa jamaa, kwangu wanabaki kuwa waganga njaa tu wanaotaka kututumia katika goal yao ya kutibu njaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upinzani wa bongo upinzani njaa tu..
 
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.

Baada tu ya kuwaaminisha, kelele zikawa kila kwenye ofisi ya CHADEMA na makamanda ''maandazi'' NI YEYE, NI YEYE

Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.

Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.

Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.

Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.

Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70

Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!

Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!

''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!

Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuze!

Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.

Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!

Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!

Kinachofurahisha zaidi, ameamua kukimbia bila kuwaeleza makamanda ''maandazi'' kama amesitisha maandamano au bado yapo palepale!

LINK>>>
LINK>>>
LINK>>>
LINK>>>
Porojo tupu, uchaguzi upi? Kura mumepika, hakuna kura ata1 iliyohesabiwa kutoka vituoni., yale matangazo ni kura za kupika tu dunia nzima inajua.,
 
Kwa nini maccm yanafanana sana akili?
Mleta mada huwezi mtofautisha na Bia yetu ,jingalao ,MOTOCHINI au YEHODAYA wote waandikapo hasa kwenye mambo ya siasa basi uwezo unashuka kwa kiwango cha chini kabisa.
Sikutegemea mleta mada anaweza kujishusha namna hii
 
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.

Baada tu ya kuwaaminisha, kelele zikawa kila kwenye ofisi ya CHADEMA na makamanda ''maandazi'' NI YEYE, NI YEYE

Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.

Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.

Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.

Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.

Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70

Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!

Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!

''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!

Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuze!

Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.

Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!

Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!

Kinachofurahisha zaidi, ameamua kukimbia bila kuwaeleza makamanda ''maandazi'' kama amesitisha maandamano au bado yapo palepale!

LINK>>>
LINK>>>
LINK>>>
LINK>>>
Kama unaamini kilichofanyika ni uchaguzi bc una haki ya kumlaumu Lisu kwa kuwa umejitoa ufahamu lakin kama unaamini ktk ukweli na kilichfanyika unatakiwa kumpongeza kwa nguvu zaidi!
 
Lisu ana mikelele mingi ila ushawishi kwa umma Hana, tofauti na wagombea wenzie wa Chadema waliomtangulia akina Slaa ,Lowasa
 
Back
Top Bottom