Tundu lissu alipata kusema, wakitumaliza sisi watageukiana wao kwa wao

Mtondoli

Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
70
Reaction score
174
Vita hii ilikuwa ndogo Sana, ilitakiwa iishie ofisini tu na kwenye kamati za maadili ya chama. Lakini Sasa matamshi ya mama si tu yatufanya watanzania tuhamaki la Bali dunia nzima habari hii itarushwa. Jiwe la Ndugai kwa Rais lilikuwa la kawaida tu lakini jiwe la mama kwa Ndugai ni kama amekanyagwa na tembo.

Madhali hatujafika 2025 Vita hii itakuwa nzito zaidi. Walio kinyume na mhimili ni ni wengi Ila kwa Sasa watatulia kujifanya wamemuelewa Sana na kumbe wanaogopa kutumbuliwa lakini nawaambie 2025 patakuwa na kivumbi mama amelizane nao mapema
 
baada ya Hayo tutatuma Takukuru na TRA kufanya ukaguzi kwa Spika. Patamu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…