Tundu Lissu alishambuliwa na watanganyika, mzanzibari akaenda kumpa pole, aliwakimbia watanganyika, mzanzibari kamrudisha

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
 
Poont yako ni kwamba hiyo ilkuwa ni rushwa ni rushwa asizungumze au?
Kwa hiyo wewe mtu akikutendea wema hata akikosea utamsifu tu? Huo unakuwa uchawa na unafiki.
 
Kumbe ni mzanzibari? Ila akisema TL mnamshambulia. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Mazachodu.
 
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Ndege pia alikodishiwa na mzanzibar tajir al maruhumu Alliy
 
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Lissu nilikua mfuasi wake,ila kwassa hapana, jamaa ana tatizo la akili nahisi na hana shukrani
 
Poont yako ni kwamba hiyo ilkuwa ni rushwa ni rushwa asizungumze au?
Kwa hiyo wewe mtu akikutendea wema hata akikosea utamsifu tu? Huo unakuwa uchawa na unafiki.
Katika nyambafu ambazo hazistahili kabisa kufanyiwa wema na ni lijitu kama Lissu, kwanza halina shukurani, na liropokaji, Lissu ni kichaa.Period.
 
Ndio watu wanaohitajika afrika. Watu ambao nyeupe watasema ni nyeupe na nyeusi nyeusi haijalishi ulimfanyia nini. Leo hii kuna watu wameitafuna nchi lakini kwa sababu eti anayepaswa kuwawajibisha anawaza baba yake alikwua rafiki yangu, au aliwahi nipigia kampeni basi yanapita mtu anaendelea kula maisha.
 
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Ujinga mtupu umeandika Lissu kuhoji vitu vya maana unaona dhambi. MAGUFULI NA MAKONDA ndio walitaka kumuua Lissu je Samia kaachana na Makonda?
 
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Hivi kumbe Kuna watu wazlianzisha hili bara
 
Ubinadamu hauna ukabila,utaifa,au nini! Kama Mama alienda kumwona Lissu alipokuwa hospitali lilikuwa ni tendo la kibinadamu.Na alifanya vizuri,mbona Jiwe yeye hakuja kumwona?
Kilichomfanya Lissu asirudi nyumbani ilikuwa kuhofia usalama wake! Kwa kuwa mama alimhakikishia usalama ndiyo maana alirudi.
 
Back
Top Bottom