Poont yako ni kwamba hiyo ilkuwa ni rushwa ni rushwa asizungumze au?Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Kumbe ni mzanzibari? Ila akisema TL mnamshambulia. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Mazachodu.Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Ndege pia alikodishiwa na mzanzibar tajir al maruhumu AlliyHistoria mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Sasa hivi Lissu angekuwa ardhini anakenua tuMtu akikusaidia Haina maana uwe mtumwa kwake
Samia akikosea lissu lazima amwambie ukweli
Watu tunawaambia ukweli mpaka wazazi wetu waliotuzaa na kutulea sembuse huyo aliyemtembelea hospitali
Unadhani walimshambulia Ili wamuuwe?!Sasa hivi Lissu angekuwa ardhini anakenua tu
Lissu nilikua mfuasi wake,ila kwassa hapana, jamaa ana tatizo la akili nahisi na hana shukraniHistoria mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Lissu sio mzimaMtu asiye na shukurani hana tofauti na shetani mwenyewe!
Katika nyambafu ambazo hazistahili kabisa kufanyiwa wema na ni lijitu kama Lissu, kwanza halina shukurani, na liropokaji, Lissu ni kichaa.Period.Poont yako ni kwamba hiyo ilkuwa ni rushwa ni rushwa asizungumze au?
Kwa hiyo wewe mtu akikutendea wema hata akikosea utamsifu tu? Huo unakuwa uchawa na unafiki.
Ndio watu wanaohitajika afrika. Watu ambao nyeupe watasema ni nyeupe na nyeusi nyeusi haijalishi ulimfanyia nini. Leo hii kuna watu wameitafuna nchi lakini kwa sababu eti anayepaswa kuwawajibisha anawaza baba yake alikwua rafiki yangu, au aliwahi nipigia kampeni basi yanapita mtu anaendelea kula maisha.Katika nyambafu ambazo hazistahili kabisa kufanyiwa wema na ni lijitu kama Lissu, kwanza halina shukurani, na liropokaji, Lissu ni kichaa.Period.
Ujinga mtupu umeandika Lissu kuhoji vitu vya maana unaona dhambi. MAGUFULI NA MAKONDA ndio walitaka kumuua Lissu je Samia kaachana na Makonda?Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Hivi kumbe Kuna watu wazlianzisha hili baraHistoria mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.