Minyoo Minyoo Minyoo Minyoo MinyooNyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama walivyokuwa wanaccm ambao hukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM
Mtu hata ada za shule anaomba omba ovyo na kuchangisha kila leo sasa mtu huyo unataka asaidie nini,Uzwazwa ulionao ndio utakaufanya utakanwe mpaka uwakumbuke wazee wako kijijini, yaani mpaka leo hujajua umuhimu wa lissu? Kwanini hujiulizi kwanini walitaka kumuua mchana kweupe!?
Inaelekea mleta uzi tangu atoke shule ya kata hajasomea hata kitabu kimoja wala gazeti. Kila siku mtandaoni tu anawangalia akina Wema Sepetu na Nandy! Unategemea nini kutoka kwa mtu kama huyu. Anyway msameheni to. Angali kijana mdogo.Yeye hajawahi kuisaidia nchi kama nchi bali amesaidia sana wananchi wanyonge tunaomfahamu toka miaka ya 1992,kwenye kuwapigania wachimbaji wadogo wa madini hadi anaingia bungeni bado aliwapigania sana!! Yeye ana asili ya uana harakati ndio maana toka miaka hiyo yeye na serikali ni matatizo tu, wanyonge ndio wanaufahamu umuhimu wake. Achana na hao wanaojiita watetezi wa wanyonge baada ya kupata madaraka!!
Huku tutamtahiri, bora aende Ikungi anaweza kuhurumiwa na wale wazee. Vita Ni Vita MuraNenda nyamongo mara waambie haya maneno alafu uje usimulie apa ulichokutana nacho..
Kama kesi ipi?Umewlewa lakini, huyo mtu wenu hafai kabisa,
Kama angekuwa ana nia ya kuwa raisi angeepuka kutetea kesi zinzoibana nchi, lakini yeye akawa ananufaisha tumbo lake tu.
Sasa masuala ya kuongoza nchi awaachie wenye machungu na nchi
😂😂😂😂😂😂😂Mimi ni CCM kindaki ndaki...ila Lissu nampa kura kwakua ni kiongozi wa watanzania tu si mtawala .
Nimekusamehe kwa kuwa umejitanabahisha kwamba ulikuwa mtoto mdogo mwaka 1995. Ngoja nikueleze mambo matatu makubwa ambayo Tundu Lissu amelifanyia taifa hili:-
1. Wakati wa awamu ya 3 ya Mkapa Tundu Lissu ndiye alipinga vikali uanzishwaji wa shamba la kufuga prawns kwenye bonde la mto
Rufiji. Endapo shamba hili lingeanzishwa lingeharibu mazingira kwa kiasi kikubwa. Wakati TL anafanya jitihada hizi alikuwa hata
hajawa mbunge. Huyo mtu wako unayemshabikia alikuwa kimya kana kwamba uharibifu wa mazingira hayo ulikuwa haumhusu!
2. Kuanzia mwaka 2005 alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza hadi 2015, Tundu Lissu ndo alipinga vikali bungeni kuhusu
kupitishwa na kuwekwa saini mikataba mibaya ya madini ambayo ilikuwa inafanya Tanzania kama shamba la bibi. Wakati huo wabunge
wa CCM walikuwa wanasema 'ndiyoooooo' - wakati mikataba hiyo inapitishwa. Hata huyo unayemshabikia alikuwa bungeni lakini alikuwa bubu. Kwa taarifa yako, yale yote Tundu Lissu aliyokuwa anayepigia kelele ndo ambayo Rais Magufuli ameyachukua na kuyafanyia kazi.
3. Tundu Lissu ndo ambaye alipiga kelele bungeni kuhusu ufisadi mkubwa uliofanywa na viongozi wa CCM kuhusu EPA, Kagoda, Meremeta,
Deep Green Finance, n.k. Wakati anaibua ufisadi huu, huyo unayemshabikia alikuwa kimya kana kwamba ufisadi huo haumhusu.
Nadhani sasa kijana unaweza kuona jinsi ambavyo Tundu Lissu alivyo mzalendo, mwenye uchungu na nchi yake.
Hitimisho: Si lazima uwe Rais ndo utoe mchango kwa nchi yako. Hapo nimekuonyea kwa ufupi tu jinsi ambavyo Tundu Lissu amelisaidia
taifa lake. Naamini sasa umemwelewa huyu mpambanaji na utampa kura ili awe Rais wa JMT, au siyo?
Akiwa na Polepole na Kabundiamewahi kuisaidia kudai katiba mpya na utawala bora
Kuna member wapya wengi sana wameletwa kwa kazi moja tu ya kusifu na kuabudu.Huyu LUPEM kajiunga jana JF na hiyo ndiyo post yake ya kwanza. Kama Senior members mtamjibu huo utopolo wake mtampa umaarufu wa bure. Angalia details zake hapa;View attachment 1533915
AMENametujengea ujasiri wa kuikemea serikali ya magufuli
Za acaciaKama kesi ipi?
Unajidhalilisha kiongozi..!!!Walitaka kumuua kwa sababu aliwapa aliwaaminisha yale makinikia anao uwezo wa kuyatoa bandarini,.
Wakampa pesa na akachemka.[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongezea na mabehewa mabovu , kugawa nyumba za serikali , kutafuna fedha wizara ya ujenziAlinunua kivuko kibovu
Hahahaha haya bwana nilikuwa na neno lakini ngoja nikutunze.Unajidhalilisha kiongozi..!!!
Utoto huu sasa...