Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aliwahi kuisaidia nini Tanzania? Mwenye uelewa atuelezee

Kwani kuisadia tz ni kufanyaje?!? kila mwananchi wa nchi hii anaisaidia nchi hii kuanzia kinyozi mpaka the top boss at BOT wote tunatoa michango ili nchi hii iende naamini naye kaisadia kwa njia hiyo tena inawezekana kalipa kodi nyingi sana kuliko wewe. kwa zaidi ni kwamba huyu akiwa na wenzake vijan tu wakati ule wawekezaji wakubwa kwenye machimbo ya dhahabu ndio walikuwa wa kwanza kabisa kung'amua na kuanza kupiga kelele kwamba nchi yetu inapigwa, ametetea bure wachimbaji wadogowadogo wengi tu walioonolewa kwa nguvu katika maeneo yao alisafiri kwa gharama zake mpaka maeneo hayo kuwatetea mahakamani. Kwa bahati mbaya sana wengi tulimwelewa vibaya tukamhukumu kwamba anatetea mabeberu lakini nao hawampendi vilevile kwa sababu hoja yake ilikuwa tunazuia mapanki tunaacha mali yenyewe inapigwa/inaondokea huko migodini na pia tunafanya hivyo wakati sheria zetu na mikataba ni mibovu, tungejikita hapo nadhani tungemwelewa vizuri.
 
Aliwapigania wachimbaji wadogo waliofukiwa kwenye migodi kwa kutumia grada miaka ileee
 
Nchi za dunia ya 3 zina dunia 2 mbele ndio zije ziifikie karne ya 21 jiulize ziko karne ya ngap !
 
Katafute historia ya migodini hasahasa bulyankulu geita, tarime etcView attachment 1533920
Ardhi na mbingu zitatushangaa kwa kumchagua Lissu. Ni yeye akiwa mwanasheria wa chadema amekaa kimya wakati Khamis Kagenzi aliyekuwa mlinzi wa Dkt Slaa akitekwa, kufungiwa ndani na kupewa mateso makali katika jengo la kukodi la chadema ufipa wanalotumia kama makao makuu....

Ni yeye aliyekaa kimya alipotekwa aliyekuwa Mkt wa chadema wilaya ya TEMEKE bwana Joseph Yona aliyekuwa kambi ya Zitto Kabwe akatekwa na kutupwa ununio uzuri Yona aliwatambua wakamuacha lakini wangemuua....


Ni yeye Lissu kwa kushirikiana na Kubenea walisema Ben Saanane yupo na ipo siku atatokea baadae akaanza kugeuza kibao eti katekwa huku Mbowe ambaye muhusika alikuwa msaidizi wake binafsi yupo kimya anakula maisha. Ifahamike aliyemfanyia umafia Saanane ni mlinzi wa Mbowe aliyekutwa kafia gesti Kwa kujinyonga lakini ukweli chadema walimuua kupoteza ushahidi. Hii habari chadema hawakuipa uzito kabisaaa....

Ni yeye Lissu akiwa mwanasheria wa chadema alikaa kimya ilipovuja sauti za mazungumzo ya Kubenea na Komu wakipanga kumdhuru aliyekuwa meya wa Ubungo Boniface Jacob leo anatuongopea?

Ni yeye Lissu akiwa mwanasheria alikaa kimya pale vijana wa red brigade walipomteka Ndg John Marwa mmiliki wa mtandao wa blogu wa Dar Mpya na kumfungia kwenye nyumba moja eneo la Bagamoyo huku wakimtesa vibaya....

Ni yeye Lissu alikaa kimya pale wanachama waandamizi wa chadema walipomteka na kummwagia tindikali kada wa CCM Wilaya ya Igunga Bwana Musa Tesha ambaye sura yake iliharibika vibaya...

Ni yeye Lissu aliyeridhia kuwekwa kifungu kwenye katiba ya chadema kuzuia wanachama wake kutokwenda mahakamani pale itakapotokea hawajaridhika Na maamuzi ya chama chao hii ilikuja baada ya zitto kuwashinda mahakamani....

Kiufupi kabla Chadema hawajanyoosha kidole wasafishe nyumba yao.... Zitto kabwe amewahi kuzungumza hadharani kuwa alitaka kuwekewa sumu na chadema kupigia vijana wa bavicha waliokuwa karibu naye.

Hawa wahuni wakapumzike

Mtu wa aina hii muongo asiye na kumbukumbu atamuhadaa nani?
 
Kuamsha waliolala na kuongoza ni vitu viwili tofauti. Tunataka kiongozi mwenye maono! Visionary leader
 
Mkuu umeadimika bonge la uharo aiseeh
 
Du! ndio umejenga hoja hivyo?

Sent from my ATU-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Wakati Lissu analisaidia hili taifa bado ulikua kiunoni kwa baba ako
mpe jibu la swali lake ni mpiga kura huyo huwenda mkapata kura yake,lakini kwakua nyinyini mazwazwa mnaishia kutukana halafu mnataka kushinda uchanguzi.
 
Kwa mara kwanza Bunge liliendelea mpaka saa sita usiku na wakakata umeme Tanzania nzima kasoro Mtwara na Kagera wakati huo Lissu anawasha moto Bungeni kuhusu escrow...dogo kakojoe ulale
 
Nelson Mandela aliisaidia nini SA akiwa kifungoni kabla hajawa rais?
Nadhani utoto naujinga unamsumbua mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…